Huu ndio ujamaa wa kweli

Huu ndio ujamaa wa kweli

Watika

Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
19
Reaction score
18
Life is so good now, kila kitu tunagawana. Maji tunagawana, umeme tunagawana, Barabarani tunavumiliana na dizel tunachoma.

Kwa kifupi life is so good now. What do you think?😀. Kama hujaoga siku mbili usikomenti hapa. Skiiip.

Tutajidili tuliooga tu.
 
siasa bana makamu wa Raisi kafichwa kwapani.

bora ata jiwe mama alikuwa hajafichwa hiviii.
 
siasa bana makamu wa Raisi kafichwa kwapani.

bora ata jiwe mama alikuwa hajafichwa hiviii.
 
Unataka kuoga na wakati huwez kumridhisha mkeo huo uchafu unachafukia wapi?
 
Je wanaotaka kufyonza huo uchafu ati kuzama chumvini unawaonaje?
Wanao zama chumvini sirikali itatoa mgao wa glass mojamoja ya maji kwaajili ya kuswaki maana nao pia Wana upungufu wa nguv za kiume chumvini unapigwa mpini siyo ulimi
 
Back
Top Bottom