Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tunataka maoni yako, tumia elimu yako kujibu swali.Kwa kuwa JK yuko jikoni,ngoja tuanze kutembeza bbakuli tena.ajira zitarudi kama zamani.
Wengi waumie ili wachache waenjoy sindioRudisheni ada kwenye mashule
Ni sawa tuu, lawama si mzigoWengi waumie ili wachache waenjoy sindio
Sidhani ila kuwalipsha ada tena ni sawaa lkn itaumiza wazaz hasa wanaoish mazngra ya vijijin huwa ni mtihan mkubwa ktk masual ya elimu tena ukirudsh ada siutafanya watt wakae nyumban waanze kufany mishe nyingne ambaz ni kinyumbe na sheria za nchi kiongoz??Ni sawa tuu, lawama si mzigo
Benz ni shingap na kuajil inahtaji mshahar shingap kwa vijana wangap ambao watakuw wanlipwa kila mwez mpla wanastaafu[emoji849][emoji2089]Pesa ya kumnunulia mwinyi benzi tunayo ya kuajiri hatuna
Poleni sana wana Chato.Kwakuwa JK yuko jikoni, ngoja tuanze kutembeza bbakuli tena.ajira zitarudi kama zamani.
Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara.
Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara?
Nini maoni yako katika hili.
Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
WANAOLIPWA MISHAHARA YA MILIONI 4 HADI 12 KWA MWEZI WAPUNGUZIWE MISHAHARA HADI KUFIKIA LAKI 8 HADI MILIONI 2 KWA MWEZI ILI NA WENGINE WAAJIRIWE.Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara.
Je tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara?
Nini maoni yako katika hili.
Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
Hauna haja ya kujua hapa ni jamii forum, ukijua sasa itakusaidia nini.wewe ni Meneja Wa Makampuni yapi ?
Kama hakuna uzalishaji hakuna pesa itapatikana ya kuajiri..Watanzania mko wapi leteni mawazo yenu hapa badala ya kulaumu viongozi. Tunahitaji mawazo yako kama yapo.