Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

Mama akadange kule kwa Biden,hakuna namna,haiwezekani watu waukalie uchumi badala ya kuuweka wazi watajirike
 
Ajira zipo mashambani kama kikiboreshwa kilimo
 
Serikali tuchimbe madini tuuze Kisha zile pesa ziajiri..na gesi na umeme n.k na vyote
 
Hapo hakuna namna zaidi ya kuongeza usimamizi hasa kwenye maliasili kama vile sekta ya utalii na madini..
 
Kuna umuhimu mkubwa pia wa kusisistiza na kuweka mkazo wa proportionality ya waajiriwa toka nje , wazawa wapewe kipaumbele , hawa makanjanja makanjibai waliojazana humo na kukaba nafasi za wazawa , Kwanza hawalipi income tax na ni watoa rushwa wengi hawana qualifications wala expertise za kuhold nafasi za kazi , kick them out , waajiriwe wazawa .
 
Waajiri bhanaaa, watumishi kazi zimewazidia tangu mwendazake afanye redunduncy bila kufanya replacement ya maana plus wanaoendelea kustaafu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…