joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Japo kuna wakenya wanajaribu kujipa MOYO, lakini hali ya Kenya ni mbaya sana. Jaribu kumsikiliza huyu professor na kumuangalia usoni, ni mtu anayezungumza kwa hisia sana na yupo tayari kufanya lolote, anasubiri vijana walianzishe ili awaunge mkono.
Kenya amkeni mchukue nchi yenu kutoka kwa Jubilee, wameshindwa kabisa kuongoza nchi. Sudan hali haikuwa mbaya kama ilivyo Kenya, lakini bado walichukua nchi yao, GDP yao ni $119, na GDP per capital ni $3000 far ahead, lakini ilikua katika makaratasi wakati wananchi hali za maisha zilikua ngumu. Kenya wakati wenu ni sasa, kama sio sasa ni sasa hivi, AMKENI.