Huu ndio Ukweli kuhusu hali ya Kenya, "Not yet Uhuru"

Huu ndio Ukweli kuhusu hali ya Kenya, "Not yet Uhuru"

Hahahahaha, wenye akili hao wanawafumbua macho, ninyi bado mnaendelea kuchapa usingizi, soma comments za wakenya wenzenu hapo chini .

huyu kibosile nadhani ameanza kampeni. mpeni nchi sasa ndio mtajua, Wote wanaanza hivi hivi
 
Kwanza ninataka kusikia maoni yako kuhusu aliyosema Prof. Manyora, ni ukweli au na yeye ni mtu toka upinzani " jealous and full of inferiority complex? ".
kwanza pia na sisi tunataka kuskia kutoka kwako...kwn tanzani hakuna ma profssor wakuliongelea swala la CAG ...bwahahaa
 
Wewe ni jinga sana, Mimi sio mume wako nikuletee kila kitu. Mimi ninatafuta kwa juhudu "weaknessed" ili nikushambulie, badala ya wewe kutafuta weaknesses zetu, eti unaniambia Mimi ndio nikufanyie kazi hiyo, wewe kazi gani unafanya hapo ulipo?, acha kujilegeza, au wewe ni shoga unashikishwa ukuta?
povu mbashara...yani mpka natusi...bwahahaaa .baada ya matusi ni leta kibera na turkana...heheeee
 
Nchi zote za Africa zinaexperience same problem....hakuna nchi better...tuache kubebana kama magunia.

Bro mi napinga hiyo kauli yako.
Mbona kuna wengine wanajiita mido inkamu kantri?
 
Kwanza ninataka kusikia maoni yako kuhusu aliyosema Prof. Manyora, ni ukweli au na yeye ni mtu toka upinzani " jealous and full of inferiority complex? ".
Kenya tuna madudu, ndio maana tunayaweka wazi,tunayajadili na kuyatafutia suluhu! Nadhani nimekuweka sawa.
Sasa nipe jibu la swali langu mkuu.
 
Kenya tuna madudu, ndio maana tunayaweka wazi,tunayajadili na kuyatafutia suluhu! Nadhani nimekuweka sawa.
Sasa nipe jibu la swali langu mkuu.

Ahaaa haaa haaa
Mnayaweka wazi madudu yenu, lkn SIDHANI KAMA mnayapa suluhisho.
 
Hehehe yaniambo ni mabaya kiasi hichi kwa wabongo...half of the budget goes into SGR and Strugglers gorge
 
Kenya tuna madudu, ndio maana tunayaweka wazi,tunayajadili na kuyatafutia suluhu! Nadhani nimekuweka sawa.
Sasa nipe jibu la swali langu mkuu.
Katika mapendekezo yake, moja ni kuwataka vijana wasimame na kuingia mitaani ili kuikomboa nchi, hili mnalifanyiaje kazi?
 
Back
Top Bottom