Huu ndio Ukweli kuhusu hali ya Kenya, "Not yet Uhuru"

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Japo kuna wakenya wanajaribu kujipa MOYO, lakini hali ya Kenya ni mbaya sana. Jaribu kumsikiliza huyu professor na kumuangalia usoni, ni mtu anayezungumza kwa hisia sana na yupo tayari kufanya lolote, anasubiri vijana walianzishe ili awaunge mkono.

Kenya amkeni mchukue nchi yenu kutoka kwa Jubilee, wameshindwa kabisa kuongoza nchi. Sudan hali haikuwa mbaya kama ilivyo Kenya, lakini bado walichukua nchi yao, GDP yao ni $119, na GDP per capital ni $3000 far ahead, lakini ilikua katika makaratasi wakati wananchi hali za maisha zilikua ngumu. Kenya wakati wenu ni sasa, kama sio sasa ni sasa hivi, AMKENI.
 
Unataka zima moto kwa jirani na kwako kuna moto pia?
 
Unataka zima moto kwa jirani na kwako kuna moto pia?
Hahahahaha, wenye akili hao wanawafumbua macho, ninyi bado mnaendelea kuchapa usingizi, soma comments za wakenya wenzenu hapo chini .
 
CCM African hunting Dog really barking hard.
 
Unataka zima moto kwa jirani na kwako kuna moto pia?
Kwenye hili tuache unafiki aisee...Ulichosema ni ukweli mtupu...

Huu moto wa CHAMA CHA MATATIZO hapa TZ umetushinda,

Hivoy tuwaache wa KE na Jubilee yao
 
Kwenu nchi ya asali na maziwa?
Ah wapi! Watu wanakula viwavi na wengine meffi ya kuku.
Instead of removing the big logs from their eyes, these CCM sycophants are always busy checking specks in other people's eyes
 
leta mijadala ya ma professor wakiongelea kuhusu ripoti ya CAG...bwahahaaaama bongo hamna ma professor..au wanaogopa kutekwa...wuhuhuuuu
 
leta mijadala ya ma professor wakiongelea kuhusu ripoti ya CAG...bwahahaaaama bongo hamna ma professor..au wanaogopa kutekwa...wuhuhuuuu
Ninyi ndio wale wanaoishia katika phonograph na EPL, hamuisaidii nchi yenu, Professor Manyora anawaamsha ninyi mchana kutwa mnatafuna mirungi, hamjui mwelekeo wa dunia.
 
Ninyi ndio wale wanaoishia katika phonograph na EPL, hamuisaidii nchi yenu, Professor Manyora anawaamsha ninyi mchana kutwa mnatafuna mirungi, hamjui mwelekeo wa dunia.
wacha kukwepa mada hapa...tz kwn hakuna ma professor...au wanmuogopa mkulu..bwahahaa...watatekwa tangu wao na hyo tv station..hku wakiambiwa wanataka kuleta vurugu
 
wacha kukwepa mada hapa...tz kwn hakuna ma professor...au wanmuogopa mkulu..bwahahaa...watatekwa tangu wao na hyo tv station..hku wakiambiwa wanataka kuleta vurugu
Wewe ni jinga sana, Mimi sio mume wako nikuletee kila kitu. Mimi ninatafuta kwa juhudu "weaknessed" ili nikushambulie, badala ya wewe kutafuta weaknesses zetu, eti unaniambia Mimi ndio nikufanyie kazi hiyo, wewe kazi gani unafanya hapo ulipo?, acha kujilegeza, au wewe ni shoga unashikishwa ukuta?
 
Ndio nyinyi mtupite?
 
Yaani wewe uko always negative about Kenya
All posts are crying about Kenya.
 
Nchi zote za Africa zinaexperience same problem....hakuna nchi better...tuache kubebana kama magunia.
 
vipi kuhusu tanzania ya utawala wa chama cha mapinduzi tangu uhuru?.
 
Kwanza nisikie comments zako kuhusu unayosema huyo professor, mtizamo wako ni upi?
Hayo ya Kenya unayajua kwa vile kuna uhuru wa vyombo vya habari na maoni.
Tz nani mwenye ubavu wa kuleta hoja kama hizi?
 
Hayo ya Kenya unayajua kwa vile kuna uhuru wa vyombo vya habari na maoni.
Tz nani mwenye ubavu wa kuleta hoja kama hizi?
Kwanza ninataka kusikia maoni yako kuhusu aliyosema Prof. Manyora, ni ukweli au na yeye ni mtu toka upinzani " jealous and full of inferiority complex? ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…