Huu ndio ukweli kuhusu ndoa ya AY

Huu ndio ukweli kuhusu ndoa ya AY

mamake AY ni mnyarwanda, na yeye huwa anajiona mnyarwanda kuliko mnyakyusa au? hilo jina la kinyakyusa nalo abadilishe basi. nilishawahi kusikiliza mahojiano yake fulani, alionyesha kujisikia viziri sana kwamba mamake sio mtz ni mnyarwanda, hapo ndipo nikaona nguvu ya mama kwa hawa watoto wetu.
 
Tatizo kubwa ni ile kauli yao ya "Dia/my nikuambie kitu?" ....
Tutaenda Rwanda na Burundi kwa sana tu.
iyo kauli aisee huwa inakera "..nikuambie kitu.." mapigo ya moyo huwa yanaongezeka kusubiri kibomu kipi kitajiri.
 
Ukienda kuoa nje ya nchi unaliwakilisha Taifa, kwahiyo mnatakiwa mpige game ya kueleweka, sio mnalipa mijihela tu, uwanjani kama Mbao FC. Mtatutia aibu.
 
Sio kweli usiishi kwa kusikia mimi nawajua
Mbona wenyewe wanasema ndio wanatoka maji kama bomba. Nimeuliza mnyarwanda na muhaya wote wamesema ndio. Wewe unakataa kama nani?
 
Mbona wenyewe wanasema ndio wanatoka maji kama bomba. Nimeuliza mnyarwanda na muhaya wote wamesema ndio. Wewe unakataa kama nani?
Nasema kama mtu ninae wajua wanyarwanda nashangaa ndugu kukomaa kwa mambo ya kuambiwa naona umeingiza na wahaya tena
 
mamake AY ni mnyarwanda, na yeye huwa anajiona mnyarwanda kuliko mnyakyusa au? hilo jina la kinyakyusa nalo abadilishe basi. nilishawahi kusikiliza mahojiano yake fulani, alionyesha kujisikia viziri sana kwamba mamake sio mtz ni mnyarwanda, hapo ndipo nikaona nguvu ya mama kwa hawa watoto wetu.
Kwa jinsi walivyo wanawake wa kinyarwanda na tabia zao, uataona kijana anaakisi hadithi na hulka za kinyarwanda. Na ukimuangalia huo unyakyusa hana, ipo siku utasikia amepewa nyadhifa kwenye serikali ya Mr. Slim
 
NADHANI MHE RAIS ATALIFURAHIA HILI MAANA ANAJARIBU SANA KUTUUNGANISHA NA WARWANDA.
AY JIANDAE KWA UTEUZI KUWA BALOZI WA TANZANIA RWANDA ILI UWE KARIBU NA MKEO..

mr.slim hakawii kumpangia majukumu ya counterintell shimela...
 
Acha shemeji yangu AY afurahie maisha na dada yangu.Mungu awape baraka tele , Amani na Upendo
 
Back
Top Bottom