huku zenji huyo kiba ndo hata hatumuelewi kiviiile,yani naye ni zama za kale...uku kila gari ina chata ya WCB iwe binafc au daladala,ktk kuranda yangu yoote cjakumbana na gari ilyoandikwa kingkiba...hii inanonesha wazi kuwa kiba anabebwa na watu wachache mno tena kwenye mitandao lkn ukija mtaani mpk mdogo wng kwenye avata apo anaimba zilipendwa,iyo seduce nazani ata hajui uwepo wake.