Huu ndio ukweli kwa hawa wawili.Diamond & Kiba

Huu ndio ukweli kwa hawa wawili.Diamond & Kiba

7f923c18bc26a6fa940cbeb97d3fa9d9.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akianza kusema sina Team huwa naanza kuwa na mashaka. Maana baadae akiendelea tu huona moja kwa moja ame base wapi.
 
huku zenji huyo kiba ndo hata hatumuelewi kiviiile,yani naye ni zama za kale...uku kila gari ina chata ya WCB iwe binafc au daladala,ktk kuranda yangu yoote cjakumbana na gari ilyoandikwa kingkiba...hii inanonesha wazi kuwa kiba anabebwa na watu wachache mno tena kwenye mitandao lkn ukija mtaani mpk mdogo wng kwenye avata apo anaimba zilipendwa,iyo seduce nazani ata hajui uwepo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom