RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
And somehow when a woman decides she doesn't want this sort of baggage in her life these baggages look for every way to guilt her into it.Ni vile tu watu hamtaki kujifunza. Toka zamani na zamani kwenye utamaduni wa Mwafrika kulea familia sio jukumu la mwanaume, hilo ni jukumu la mwanamke (mama).
Na ndio maana ni mwiko mwanaume wa Kiafrika aliyeoa kuingia jikoni na kupika, pia hata zamani wanaume walikuwa wanaoa wanawake wachapakazi wanaojua kulima ili tu wakawalimie mashamba yao.
Kiufupi wanaume wao walikuwa na bado wanatafuta wake wakwenda kuwalea.
Jiulize kwanini mwanaume wa kiafrika anaoa mwanamke ambaye kiumri ni mdogo kwqke ni ili tu anavyoendelea kuzeeka na kupoteza nguvu awe na uhakika wakulelewa.
Ni kweli familia nyingi za kiafrika wanawake ndio walezi wakuu na hata mtoto akiwa na tabia mbaya shida ni mama, baba akiwa anaugua au ana afya dhaifu shida ni mama, ila mwanamke akiwa na afya dhaifu au akiwa anaugua shida ni yeye au wake wenza wamemloga.
Kinyume chake ndio UKWELiHuu ndio ukweli asilimia 100% wamama ndio watunzaji wawatoto kwenye familia.
Wababa wao kazi zao kubwa nikuwapiga watoto na mama na kukimbilia kwa michepuko kuwahudumia .
Halafu wanaume wengi kutoa zamani wanapenda kutunzwa sana tu mwanamke anaamka asubuhi anaenda kutafuta chochote kitu ili atunze watoto na mume wake .
Zamani baadhi ya wanaume walikuwa wanatunza familia zao ila kwa sasa no more wanaume hawapo katika position zao kama mwanaume.
Mtu kaajiriwa au ni mfanya biashara ila hujui anapeleka wapi pesa zote.
Hanunui hata maji tu apeleke nyumbani hapana.
Ila anaulizia chakula nakupiga watoto.
Anakuja juu akiombwa ada za watoto, pesa ya matumizi ,uniforms na kila kitu kinachohusu mama yake mzazi mke wake na watoto inasikitisha.
Mtu tajiri anapelekwa ustawi wa jamii ili alee familia yake.