Huu ndio umri halali wa le baharia

Status
Not open for further replies.
Le mutuz anasatahili heshima, ni mtu mzima sana, ingekuwa amri yangu anafaa apigiwe mizinga 21......
Shkamoo le mutuz
Birthday loading..... 25 June 😀

View attachment 352956
Kwani amewahi kukanusha? Mbona yuko wazi tu na umri wake. Give him a break, mwache aenjoy maisha. kama ulisoma historia yake alivyoishi huko nje utamuelewa tu kufurahia maisha hapa Bongo. Bongo kuna raha zake!
 
Sijui Dr Magufuli atamkumbuka kati ukuu wa wilaya nae kashasema hataki wazee,hii ni mipango mahususi ya kuharibia Le Baharia "Le Mutuzzz".Halafu kumbe si mtoto wa mjini kazaliwa Tukuyu Dar kajakuona majuzi tu.
 
Wabongo sijui wamefanywa nini na huyu raia,sijawahi kuona kosa lake.

Wrong selection ya Rika la kujichanganya nalo alafu alitumie kupanda ngazi kuelekea umaarufu hapo ndio tatizo lilipo.

Badala ya Bakurutu, Kitambaa cheupe na old is gold.....anaonekana kwenye fiesta hapo ni shida.

Simba dume mzee ndani ya simba dume vijana lazima atatimuliwa tu kwa meno, makucha na makelele hadi atoke kundini.
 
hizi siku mbili tatu naona jamaa anapita kwenye kipindi kigumu cha maisha ya social media, inabidi ajilaumu mwenyewe kwa kujikweza kwenye mitandao sababu sio kila mtu atakuwa anampenda na watu wanaomjua zaidi wanaweza kumharibia
 
hivi huyo mage cjui mange kimambi ishu yake kubwa ni nin hapa mjini, mbona kama amemuandama sana le papaa mpka naanza kuona tc too much na haipendezi kuweka privacy ya mtu instagram. wanamahusiano gani kwani na imekuaje amuanike mwenzie in that way. @nimekwazika.
 
Kwani amewahi kukanusha? Mbona yuko wazi tu na umri wake. Give him a break, mwache aenjoy maisha. kama ulisoma historia yake alivyoishi huko nje utamuelewa tu kufurahia maisha hapa Bongo. Bongo kuna raha zake!
Hakuna mahali le mutuz aliwahi kusema umri
Simpi break kwasababu nampenda
 
Why do people get offended by
other people's opinions, or
believes? Who cares?! This
country is turning into little bitches.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…