Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama angekuwa mwajiriwa, ana sifa zote za kustaafu kwa hiyari
Like a bear among deers..........out of shape and place
![]()
Kwani amewahi kukanusha? Mbona yuko wazi tu na umri wake. Give him a break, mwache aenjoy maisha. kama ulisoma historia yake alivyoishi huko nje utamuelewa tu kufurahia maisha hapa Bongo. Bongo kuna raha zake!Le mutuz anasatahili heshima, ni mtu mzima sana, ingekuwa amri yangu anafaa apigiwe mizinga 21......
Shkamoo le mutuz
Birthday loading..... 25 June 😀
View attachment 352956
Wabongo sijui wamefanywa nini na huyu raia,sijawahi kuona kosa lake.
Hakuna mahali le mutuz aliwahi kusema umriKwani amewahi kukanusha? Mbona yuko wazi tu na umri wake. Give him a break, mwache aenjoy maisha. kama ulisoma historia yake alivyoishi huko nje utamuelewa tu kufurahia maisha hapa Bongo. Bongo kuna raha zake!
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Najua ni age mate wa le baharia teh
Hakuna mahali le mutuz aliwahi kusema umri
Simpi break kwasababu nampenda
Hapo aliposimama kachukua nafasi za wanafunzi kama sitaLike a bear among deers..........out of shape and place
![]()
Wabongo sijui wamefanywa nini na huyu raia,sijawahi kuona kosa lake.
