LE MUTUZ IS YOUNG AT HEART!!!
Hata mimi huwa sielewi mutuz anachukiwa kwa nini, jamaa ana maisha yake hachokozi watu ila anapondwa tu kila leo.Wabongo sijui wamefanywa nini na huyu raia,sijawahi kuona kosa lake.
AbsolutelyHuyu jamaa wanamzinguaga sana....... lkn me namuona mtu poa kiIa mtu anachagua staili yake ya kuishi ilimradi huvunji sheria za nnchi
Smart phone hazikuwepoAfu mwenyewe ndo yupo busy na uvulana!!! au kwenye ujana hakuyafanya?
Ha ha ha nlicheka alisema hawezi kusema umri wake coz tutaacha kumsema so hii kitu imenichekesha tuLakini hajawahi kukanusha chochote kile kuhusu umri wake.
Halafu kwani ajabu ni nini hapo?
Si umri tu...na kila mmoja ana wa kwake.
Wangapi humu tutaufikia huo umri?
Kazaliwa kipindi cha mkoloni....Duh, kumbe kazaliwa kabla ya uhuru, heshima kwake
Teh salamu yake itakua "mama Habari za sahizi"Mama kazaliwa 1956 mtoto kazaliwa 1961?
Anne Kilango Malecela (born 9 January 1956) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Same East constituency from 2005 until 2015
Member of Parliament
for Same East
Incumbent
Assumed office
December 2005
Personal details
Born 9 January 1956 (age 60)
Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM
Spouse(s) John Malecela[1]
Alma mater Chang'ombe TTC
Open University of TZ (BCom)
Profession Teacher
Anachukiwa na nani kwaniHata mimi huwa sielewi mutuz anachukiwa kwa nini, jamaa ana maisha yake hachokozi watu ila anapondwa tu kila leo.
Kwani amewahi kukanusha? Mbona yuko wazi tu na umri wake. Give him a break, mwache aenjoy maisha. kama ulisoma historia yake alivyoishi huko nje utamuelewa tu kufurahia maisha hapa Bongo. Bongo kuna raha zake!
hesabu ulisoma kweli wewe45 YRS loading!!!
kazi yake kutumbuahivi huyo mage cjui mange kimambi ishu yake kubwa ni nin hapa mjini, mbona kama amemuandama sana le papaa mpka naanza kuona tc too much na haipendezi kuweka privacy ya mtu instagram. wanamahusiano gani kwani na imekuaje amuanike mwenzie in that way. @nimekwazika.
hahah asee umenchekesha eti kaposti vitu saa nane za uckuHivi huyo mange huwa analala saa ngapi? Watu marekani tumelala unaamka asubuhi unakuta huyu mama kapost mavitu saa nane za usiku saa tisa mpaka kumi! Hivi huyu mama ana maisha mengine zaidi ya social network?? Kweli mzungu alipatikana aise. Huyu dada ni zaidi ya jipu uchungu.
Like a bear among deers..........out of shape and place