Huu ndio umri halali wa le baharia

Huu ndio umri halali wa le baharia

Status
Not open for further replies.
Naona anakula bata kwenye schoo bush ya mwaka jana
 
Hivi huyo mange huwa analala saa ngapi? Watu marekani tumelala unaamka asubuhi unakuta huyu mama kapost mavitu saa nane za usiku saa tisa mpaka kumi! Hivi huyu mama ana maisha mengine zaidi ya social network?? Kweli mzungu alipatikana aise. Huyu dada ni zaidi ya jipu uchungu.
 
55 ni number tuu, bado mbichi sana..! Tafuna totoz kwa ujana bandia afu si muda una applly ubabu maana totoz pia zinapenda babuz[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Lakini hajawahi kukanusha chochote kile kuhusu umri wake.

Halafu kwani ajabu ni nini hapo?

Si umri tu...na kila mmoja ana wa kwake.

Wangapi humu tutaufikia huo umri?
Ha ha ha nlicheka alisema hawezi kusema umri wake coz tutaacha kumsema so hii kitu imenichekesha tu
No chuki wala
 
55 anahudhuria school bash kama kawa kwa raha zake na kwenye show za wcb yumo kila mkoa
 
Mama kazaliwa 1956 mtoto kazaliwa 1961?

Anne Kilango Malecela (born 9 January 1956) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Same East constituency from 2005 until 2015


Member of Parliament
for Same East
Incumbent
Assumed office

December 2005
Personal details
Born
9 January 1956 (age 60)
Tanganyika
Nationality Tanzanian
Political party CCM
Spouse(s) John Malecela[1]
Alma mater Chang'ombe TTC
Open University of TZ (BCom)
Profession Teacher
Teh salamu yake itakua "mama Habari za sahizi"
 
Wabongo tunamajungu sana kwa LE AKILI KUBWAZZZ, ngoja marekani waje KUMCHUKUA ndio tutaona tulikuwa tunachezea shilingi kwenye tundu la choo

Ye hanaga habari. Yani comment moja tu hapa inamuongezea MAMILIONI huku ye ametulia zake DOWNTOWN na WABEBEZ WAKALI wanakula BATAZ UBATANI
 
hivi huyo mage cjui mange kimambi ishu yake kubwa ni nin hapa mjini, mbona kama amemuandama sana le papaa mpka naanza kuona tc too much na haipendezi kuweka privacy ya mtu instagram. wanamahusiano gani kwani na imekuaje amuanike mwenzie in that way. @nimekwazika.
kazi yake kutumbua
 
Hivi huyo mange huwa analala saa ngapi? Watu marekani tumelala unaamka asubuhi unakuta huyu mama kapost mavitu saa nane za usiku saa tisa mpaka kumi! Hivi huyu mama ana maisha mengine zaidi ya social network?? Kweli mzungu alipatikana aise. Huyu dada ni zaidi ya jipu uchungu.
hahah asee umenchekesha eti kaposti vitu saa nane za ucku
 
Like a bear among deers..........out of shape and place

le%2Bmutuzii899.jpg

Babu na wajukuu nimecheka hadi nimekaa chini.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom