Huu ndio umri halali wa le baharia

Status
Not open for further replies.
Sijaona kosa lake huyu jamaa mbona yupo poa sema tu kachelewa kuupa ucelebrity kaja upata umri ukiwa umeenda the same case na babu wa loliondo
 
Sijui Dr Magufuli atamkumbuka kati ukuu wa wilaya nae kashasema hataki wazee,hii ni mipango mahususi ya kuharibia Le Baharia "Le Mutuzzz".Halafu kumbe si mtoto wa mjini kazaliwa Tukuyu Dar kajakuona majuzi tu.
Hahaa mbona anapenda sana kusema yeye ni mtoto wa mjini kazaliwa Ocean rd jijini.
Lemutuz kaumbuka kweli,!!!
 
Ni mjomba wake wa kufikia kwa mujibu wa Lemutuz
 
hizi siku mbili tatu naona jamaa anapita kwenye kipindi kigumu cha maisha ya social media, inabidi ajilaumu mwenyewe kwa kujikweza kwenye mitandao sababu sio kila mtu atakuwa anampenda na watu wanaomjua zaidi wanaweza kumharibia
Alafu aliyemuumbua anamuita le bahariaa baba mdogo /mjomba wa kufikia teh teh,sijawahi kuona huyu mzee kawa mpole kama hizi siku mbili tatu,uchizi wa mange ni some next level shit.
 
Umri wa passport sio !!
Upelelezi huwezi weye !!
Kadi ya mama ya kliniki au tangazo la kusajili uzazi mwisho cheti cha sule ya msingi. Vitu vinavyofanyika kabla hujapata akili.
Hiyo na cheti cha kuzaliwa cha ukubwani siooo !!!
 
Ooooh kumbe namsifu ndio maana alipoona kazeeka na majuu ajafanya lolote kamua kurudi nyumbani tz

Ushauri aache sasa kuingilia mamuzi ya vijana wanaoenda majuu na waliopo majuu sababu yeye ni mzee ujana wake kaishi uko ajambulia kitu karudi tz anasema uku afadhari sasa atulie


Kingine dj wote mliopo sehemu za burudani mkimuona le mutuz kaingia tu zimeni mziki kisha wambieni watu watoe shikamoo kwa babu yao
 
Le baharia angevumilia tu US nadhani muda huu angekula mafao yake ya udereva wa nyonya mavi
 
Yaani nusu karne plus 5 years
Mashallah mwenyezi Mungu kamjaalia.
Wangapi mtafikisha umri huo?.....

Namkumbuka zamaani akiendesha peugeot 504 mkoani.
Alipotoka melini nikamkuta na AUDI black mziki mkubwee.
Teh umenikumbusha hiyo Peugeot 504 mzee alikuaga nayo enzi hizooo nawe ni age mate wa le baharia nini ha ha ha
 
lakini amekula kula maisha majuu sana...kuna watu huku mpaka mnazeeka marekani mtaisikia bombani tu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…