mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
teh teh si bure mkuuKilaza alio wasema Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
teh teh si bure mkuuKilaza alio wasema Magufuli
Duuh ahsante mkuu. Nilibugi55 buana[emoji12] [emoji12] [emoji12]
kwa muonekano tu hapo ni tky mwisho wa mji
Subirini aje,siku hizi hana subira anatukana kama ninikwa muonekano tu hapo ni tky mwisho wa mji
Hata mimi huwa najiuliza swali Hilo. Siujui huyu ndugu amewaudhi nini wana JF hasa vijana.Wabongo sijui wamefanywa nini na huyu raia,sijawahi kuona kosa lake.
Baharia hazeeki, mi nina anko wangu ni bahari tukikaa pamoja uwa na cheka saana ana zaidi ya miaka 50Wrong selection ya Rika la kujichanganya nalo alafu alitumie kupanda ngazi kuelekea umaarufu hapo ndio tatizo lilipo.
Badala ya Bakurutu, Kitambaa cheupe na old is gold.....anaonekana kwenye fiesta hapo ni shida.
Simba dume mzee ndani ya simba dume vijana lazima atatimuliwa tu kwa meno, makucha na makelele hadi atoke kundini.
hapo utashindwa kupata jibuHata mimi huwa sielewi mutuz anachukiwa kwa nini, jamaa ana maisha yake hachokozi watu ila anapondwa tu kila leo.
ila basi anastahili sifa kwani anaonekana bado kijanasio mamaake mzazi huyo.mamaake yuko bush huko saiz.mzee alifanya usajili dirisha dogo.
kwann isiwe 1975 ?Africans huwa Mara nyingi tunadanganya umri... Hapo unaweza kukuta alidanganya umri na usikute alizaliwa mwaka 1940's
Na muonekano wa mtu kiutu uzima, matatizo yake ni ya kisaikolojia zaidi watu ni kutomfahamu tu.Mbona ana akili za kitoto
Tunaona za kichwani tu ndio zinazo nyolewa kusema zote ni mambo mengine hayo sasa.Ndiyo maana ananyoa nywele zote
Ha ha ha ha mmmhNdiyo maana ananyoa nywele zote
55 kwa hiyari, Le baharia muda ushafikaIvi umri wa kustaafu sasaivi kuanzia miaka mingapi
Au kutumika kama neti kwenye bedi la sita kwa sita.Eti shati la Le baharia linaweza funika Vitz