Huu ndio umri halali wa le baharia

Huu ndio umri halali wa le baharia

Status
Not open for further replies.
Wrong selection ya Rika la kujichanganya nalo alafu alitumie kupanda ngazi kuelekea umaarufu hapo ndio tatizo lilipo.

Badala ya Bakurutu, Kitambaa cheupe na old is gold.....anaonekana kwenye fiesta hapo ni shida.

Simba dume mzee ndani ya simba dume vijana lazima atatimuliwa tu kwa meno, makucha na makelele hadi atoke kundini.
Baharia hazeeki, mi nina anko wangu ni bahari tukikaa pamoja uwa na cheka saana ana zaidi ya miaka 50
 
Le Mutuz, kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi...miaka 55 si mchezo ati halafu anashinda disko na mabeibe wa ukweee! ha!ha!ha! Mzee Malecela hapo umekula hasara mara mbili.
 
Ivi umri wa kustaafu sasaivi kuanzia miaka mingapi
 
Ivi umri wa kustaafu sasaivi kuanzia miaka mingapi
55 kwa hiyari, Le baharia muda ushafika
Ni hasara kwakweli, mabao kama haya mzazi unatamani ni bora ungepiga punyeto tu
 
  • Thanks
Reactions: aye
Mange aweke na wake mana naye alidaganya umri she is fourty now. Any way kila MTU akijaliwa uzima atafikisha huo umri hongera lemutuz naona mange katumia umri kukui insults kumbe hyo normal tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom