Hahahahajamaa anavaa shati la mwendo kasi
Akija mtapambanaHa ha ha lol
Ha ha ha huenda ni 1981Ni 61 au 81.....????
Mtoto wa TukuyuHahaa mbona anapenda sana kusema yeye ni mtoto wa mjini kazaliwa Ocean rd jijini.
Lemutuz kaumbuka kweli,!!!
Ha ha ha le pacha niniAkija mtapambana
Unknw le mburulaz wanadhani huyo ni mimi..hahahaha
Uknw huyo ni le pachaz yuko tukuyu uknw...
Kuna moja ya post yake humu alisema ingawa ni marafiki na mheshimiwa tangu wakati wa ujana lakini yeye ni mdogo kuliko mheshimiwaJamaa ni agement wa Mh. Mbowe...!