klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
deh deh deh! hii sredi inaongeza umri wangu! huu wimbo kuwa makini mwamba,ZINDUKA wakiuona wanaweza kuutumia kwenye SLOGAN yao halafu wakakufungulia kesi kama Mr 2. hehehemareliaaaaaa kwaheeriii eeeh
kwaheri kwaheri nakutakia kifoo chemaaaa
kwaherii kwaheeriii
urudi kwenu nyumbaniiii
kwaheri kwaheriii eeeeh