mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla..
Na tumai mko salama wote ,
Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana.
Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama.
Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda mrefu.
Hivi karibuni nimegundua hili Baada ya kushambuliwa na magonjwa ya ngono zembe, kwanza kabisa nimegundua uume hauamki kama unamatatizo ya magonjwa ya kingono ngono.
Na mshukuru Mungu Now nimepona hivyo ni meona vema kuwashirikisha vijana tusiwe na haraka na ngono Ili tusipate matatizo makubwa, magine uume wangu ulikuwa unaamka Kwa shida ila now Toka ni pone unakaa Uko juujuu kama ngoma za daku tofauti na hapo awali.
Kwa wakati huu Nakalinda sana haka kadudu kama yai maana magonjwa Yapo ndugu zanguni.
Mambo ya kuwekeana vidudu siyo poa kabisa tujilinde sana Ili tufike uzeeni.
Nawasilisha kwenu wakorintho.🙌