Huu ndio usanii wa maisha

pure man

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
553
Reaction score
443
MAISHA NA MAAJABU YAKE

[emoji818]Mmliki wa kampuni ya TECNO anatumia Iphone

[emoji818]Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme

[emoji818]Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa soda

[emoji818]Aliyegundua pesa alikufa na madeni

[emoji818]Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani

[emoji818]Aliyegundua simu (Alexander Bell) mama yake alikuwa kiziwi(jiulize aligundua ili kumpigia nani)

[emoji818]Kuna watu wameajiriwa ila wanafundisha wengine jinsi ya kujiajili

[emoji818]Baba mlevi apendi mwanae anywe pombe

[emoji818]anayekupa ushauri wa ndoa yeye mwenyewe imemshinda

[emoji818]Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo kama lura

MAISHA NI SIMPLE USIPOJICHANGANYA
[HASHTAG]#2018moods[/HASHTAG]
 
Mpenz wako mpya kwa mwingine ni wa zamani

hili jambo ndio linasababisha matatizo yote ktk maswala ya mapenzi duniani,kama kila mtu angetulia na wa kwake aliyeanza nae hakika matatizo ya mapenzi yangepungua sana.
maswala ya vibamia,mabwawa,ma swimming pool,talaka n.k yote chanzo ni hapo
 
Heee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ukisema una kibamia mwenzako ana kidudu size ya AAA battery tena hapo kimevimba !! Hilo nalo ajab
 
Haaaa kwel kaka Na tatizo macho tamaa kwa wote ke Na me
 
Hiyo ya wachina na matako yao, haha...Ila wa Africa tuna ROHO ngumu jamani, kupakaa hizo dawa bila kuogopa mhhh.
Body for business ,wakat wachina wao technology for business
 
Aaahà kitakua kina mtekenenya tu ,ukina mpenzio anacheka sana wakat WA sex ujue humkuni unamtekenya

Nijue mimi kwani me ndo mwenye kadudu??
Mi nnae mdudu wangu nikimwingiziaga lazima afumbe macho na anyooshe shingo yake
 
Hapo ANAYEKUPA USHAURI WA NDOA YEYE MWENYEWE IMEMSHINDA.....Umenikumbusha movie ya Shahrukh Khan Kabhi Alvida Naa Kehna......Mtunzi wa kitabu masuala ya ndoa ilhali ye mwenyewe mtunzi kaachika ndoa tatu hahaaa
 
Mtu kutomuamini mkewe afungue pochi yake wakati akisafiri anamuachia nyumba na vitu vyote vya thamani vilivyomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…