Huu ndio ushaidi ambao RWANDA ni muhusika wa M23

Hata sisi acha tu tuendelee kuwachekea Watutsi, wajukuu zetu watakuja kutulaumu sana kwa kutokuchukua hatua
 
..Rwanda ni ndogo kuliko mkoa wa Morogoro.

..sasa wamezizidi vipi maarifa, na ujasiri, Malawi, Afrika Kusini, Tanzania, na DRC?

..Ni aibu nchi hizo kusalimu amri kwa Rwanda na M23.
 
Inalingana na wilaya ya kalambo ipo RUKWA
Moro ni kubwa sanaa
 
..Rwanda ni ndogo kuliko mkoa wa Morogoro.

..sasa wamezizidi vipi maarifa, na ujasiri, Malawi, Afrika Kusini, Tanzania, na DRC?

..Ni aibu nchi hizo kusalimu amri kwa Rwanda na M23.
Israel ni ndogo na imezungukwa na maadui lakini wanaishindwa, vita ni sayansi
 
Back
Top Bottom