Huu ndio ushinani unaofaa wa majirani wenye akili kubwa - Ethiopia launches first satellite into space

Huu ndio ushinani unaofaa wa majirani wenye akili kubwa - Ethiopia launches first satellite into space

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Screenshot_20191221-063707.png

Ethiopia launched its first satellite into space on Friday, as more sub-Saharan African nations strive to develop space programs to advance their development goals and encourage scientific innovation.

Before dawn on Friday, senior officials and citizens gathered at the Entoto Observatory and Research Centre just north of the capital Addis Ababa to watch a live broadcast of the satellite’s launch from a space station in China.

“This will be a foundation for our historic journey to prosperity,” deputy prime minister Demeke Mekonnen said in a speech at the launch event broadcast on state television.

The satellite was designed by Chinese and Ethiopian engineers and the Chinese government paid about $6 million of the more than $7 million manufacturing costs, Solomon Belay, director general of the Ethiopian Space Science and Technology Institute, told Reuters.

“Space is food, space is job creation, a tool for technology...sovereignty, to reduce poverty, everything for Ethiopian to achieve universal and sustainable development,” he said.

The satellite will be used for weather forecast and crop monitoring, officials said.

The African Union adopted a policy on African space development in 2017 and declared that space science and technology could advance economic progress and natural resource management on the continent.

Source: The East African
 
Ulitaka kumaanisha ushindani mk?

Tuambizane maana niliona Citizen wameandika Trump amebanduliwa.
 
Ulitaka kumaanisha ushidani mk?

Tuambizane maana niliona Citizen wameandika Trump amebanduliwa.

Hehehe... Angalia majira ya saa niliyoweka hili bandiko, utaelewa. Naomba Mod arekebishe
 
Mbona yetu tuli-launch kitambo, tatizo nyie mumelala sana sijui huwa mnakwama wapi...
Japo huwa mnawakilisha vyema kwenye tasnia ya kuruka kwa ungo, cheki hii video mlivyobobea

Hahaha.... Haya sina neno...japo kama wanaekti hivi
 
Hao mnashindana nao huwa tunawakamata hku kwetu wakiwa na njaa tukiwapa maziwa na mkate wanajiona kama wako peponi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Wachina hukamatwa sana kwenye makontena, ila uchumi wao ni zaidi wa kwenu kwa mara 1,000
Suala la watu kukamatwa kwenye nchi za watu sio geni, kumbkuka hata hawa ndugu zenu kwenye hii video wamejazana sana huku

Sisi atuingizwi mkenge na hivyo vitu vya satellite hadi tujue tija yake kwanza siyo mambo ya kifisadi ,watu weupe wanatuingiza kwenye ushindani usio na tija kwetu Kwa manufaa yao mfano sgr Kenya vs sgr ya mwanzo tz isiyo tumia Umeme ilikuwa ni plan ya kutushindanisha ili watuletee matreni yao yaliyo pitwa na wakati kama walivyo Fanya kenya

Jamaa wa 'mwakani Tanzania kuipiku Kenya' zimesalia siku kumi, tunasubiri kwa hamu kuona miujiza maana pengo baina yetu linazidi kuongezeka, tunazidi kuwaacha mbali sana, sasa sijui miujiza ipi mtatenda.
 
Hehehehe, ndio maana mimi hushauri watu kuacha kuandika andika vitu wakiwa wamelewa.

Wala sikua nimelewa, niliacha pombe kabisa baada ya kunivuruga kimaisha....
Muda huo ndio nilikua nimeamka nikijiandaa kuchapa kazi akili hazikua zimetulia, ila baadaye nimesukuma gurudumu na ndani ya masaa zaidi ya tano nimefaulu productivity pulse asilimia 73%

productivity.jpg
 
Hii Ethiopia ndio inayoongoza kwa waamiaji haramu wanaokamatwa wakiikimbia nchi yao kwenda Africa ya kusini na kwingineko. Sasa haya mambo ya satellite na umasikini uliokithiri wa wananchi wake na uchumi kukua kuliko nchi zooote Africa ni confusion kwakweli!
 
Kuna mwenzakohapo juu kaja na hii kete unayotumia, kumbuka Wachina hukamatwa kwenye makontena, ila hiyo hiyo China inaipelekesha Marekani kwa kasi kwenye masuala ya uchumi.
 
Kuna mwenzakohapo juu kaja na hii kete unayotumia, kumbuka Wachina hukamatwa kwenye makontena, ila hiyo hiyo China inaipelekesha Marekani kwa kasi kwenye masuala ya uchumi.
Ila Ethiopia imezidi kwakweli. Hata wananchi wake wamekondeanaa? Njaaaa!
 
Na hawajatawaliwa hao, Kenya Muzungu kawajengea na kuwaachia kila kitu mpaka Choo kazi yao ni kunya tu, lkn bado wanashindwa kutoboa, kazi yao ni kuiba na kubomoa kila kitu alichoacha Muzungu.
ulitaka 'Muzungu' awajengee nyinyi au vipi maana sio kwa povu hilo
 
Back
Top Bottom