Huu ndio utajiri fake wa wema

Huu ndio utajiri fake wa wema

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Haitaji kutambulishwa,kila mtu anamjua,ila kidogo tu alikuwa miss tanzania,baada ya apo akaanza kuigiza movie ambazo hata hivyo hajawahi kufanya vizuri kihivyo zaidi ya kibebwa na umbo lake na sauti yenye mvuto,tatizo huyu dada hajitambui kabisaa,kama angeamua kuwa mtangazaji apa bongo aiseeh kipindi chake kingekuwa hot sana,sauti anayo tena nzuri,au hata angeamua kufanya ubunifu wowote kama jokate angalau ajiingizie fedha kwa jasho lake la ki halali,maana kwenye movie bado sijaona kitu hadi sasa.

Wema hawezi kujilinganisha na UWOYA NA AUNT,hawa wanakamua bwana na movie zao zinajulikana kuwa kweli ni waigizaji mahiri,ivi nikiuliza movie kali alizocheza wema,achilia mbali point of no return na FAMILY TEARS za kanumba miaka hiyo ni ipi hadi sasa ambayo unaweza sema kweli wema ile movie kauza na kupata hela nzuri ambyo hata ukisema amenunua opa haitaleta maswali mengi kwa mashabiki wake,leo hii unasema umenunua nyumba milion mia nne,gari la milion 200 kwa sanaa ipi??

Acheni kuwadanya mabinti wadogo wanaotaka kuwa kama nyinyi waone kuwa sanaa inalipa kumbe kuna mambo yenu mnafanya,mbona akina riyama,monalisa ni waigizaji wazuri tena uwafikii hata robo,mbona wao hawana izo hela??,au wewe ndo umeigiza movie nyingi kuliko wao??

Acheni izo nyinyi mnaangaliwa na wengi,watu wanaacha kulima wanakuja dar wakijua sanaa inalipa kumbe wapi,wema umebarikiwa mvuto wa kipekee jaribu kufanya ubunifu.wowote acha kuzubaa,anzisha hata tv program yako,naamin utafanya vizuri,achana na utajiri fake,ishi maisha yako halisi kutokana na kipato chako.FOR THE LOVE OF THE GAME.
 
kwanza siku hizi sijui anakuaje,! Kama anamakunyanzi na manyama uzembe flani hivi na vipodozi vimezidi yani kama mdoli siyo wema yule wa miss tanzania.
 
Hayo mambo mengine ndo yamemuweka Wema kuwa mwanamke tajiri kuliko wasanii wote tz heshimu uheshimiwe na uache kufatilia bizness zisizokuhusu

mkuu mambo yapi? Na utajiri upi unazungumzia?
 
Sio siku nyingi nlikuwa nabishana na mtu kuhusu kipato halisi cha huyu bint,sikubaliani kabisa matumizi yake na kipato chake aseme tu kuwa anamilikiwa na mifisadi flani ya mjini hapo sawa,lakini kwa sanaaa ya bongo tu sikubali
 
Utajiri wake ni nadharia kama ulivyokua wa papaa msofe,marehemu mpakanjia, ukiuliza kanunua nini na kuuza hupati jibu!
 
Ngoja nibofye back nirudi nilipotoka.
 
Kei imemfanya awe maarufu na kupanda bei kila kukicha
 
mi naona ni personal sana haihusu either uwe umetoswa au rafiki yako katoswa ndio utaleta uzi kama huo hapa
 
mi naona ni personal sana haihusu either uwe umetoswa au rafiki yako katoswa ndio utaleta uzi kama huo hapa
ok,ila kumbuka watu wanatoka vijijini kuja mjini ili waigize wawe kama wema sepetu,hawajui whats behind matokeo yake wanakuja wanaambulia kubakwa na maproducer na kuambukizwa ukimwi
 
ok,ila kumbuka watu wanatoka vijijini kuja mjini ili waigize wawe kama wema sepetu,hawajui whats behind matokeo yake wanakuja wanaambulia kubakwa na maproducer na kuambukizwa ukimwi

hakuna uhusiano wa ulichoandika na sanaa kama wanakuja town with no care au mtu wanaomfahamu unategemea nini hata sio kuigiza wakija hivyo itawakost tu hii personal sana umemchimba sana binasfi mno
 
Sio siku nyingi nlikuwa nabishana na mtu kuhusu kipato halisi cha huyu bint,sikubaliani kabisa matumizi yake na kipato chake aseme tu kuwa anamilikiwa na mifisadi flani ya mjini hapo sawa,lakini kwa sanaaa ya bongo tu sikubali

Aisee!!!
Mkuu ulikosa kitu cha kufanya siku hiyo?
 
du umbeya hauna posho.mbona riz 1.ana mabilion hamuulizi katoa wapi?WEMA MJASIRIAMALI HAKALII UCHUMI BADO MNAMFUATA MWACHENI MTOTO APENDEZE
 
Drug dealer huyo wala msihangaike+K+uchawi =utajiri

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haitaji kutambulishwa,kila mtu anamjua,ila kidogo tu alikuwa miss tanzania,baada ya apo akaanza kuigiza movie ambazo hata hivyo hajawahi kufanya vizuri kihivyo zaidi ya kibebwa na umbo lake na sauti yenye mvuto,tatizo huyu dada hajitambui kabisaa,kama angeamua kuwa mtangazaji apa bongo aiseeh kipindi chake kingekuwa hot sana,sauti anayo tena nzuri,au hata angeamua kufanya ubunifu wowote kama jokate angalau ajiingizie fedha kwa jasho lake la ki halali,maana kwenye movie bado sijaona kitu hadi sasa,wema hawezi kujilinganisha na UWOYA NA AUNT,hawa wanakamua bwana na movie zao zinajulikana kuwa kweli ni waigizaji mahiri,ivi nikiuliza movie kali alizocheza wema,achilia mbali point of no return na FAMILY TEARS za kanumba miaka hiyo ni ipi hadi sasa ambayo unaweza sema kweli wema ile movie kauza na kupata hela nzuri ambyo hata ukisema amenunua opa haitaleta maswali mengi kwa mashabiki wake,leo hii unasema umenunua nyumba milion mia nne,gari la milion 200 kwa sanaa ipi??,acheni kuwadanya mabinti wadogo wanaotaka kuwa kama nyinyi waone kuwa sanaa inalipa kumbe kuna mambo yenu mnafanya,mbona akina riyama,monalisa ni waigizaji wazuri tena uwafikii hata robo,mbona wao hawana izo hela??,au wewe ndo umeigiza movie nyingi kuliko wao??,acheni izo nyinyi mnaangaliwa na wengi,watu wanaacha kulima wanakuja dar wakijua sanaa inalipa kumbe wapi,wema umebarikiwa mvuto wa kipekee jaribu kufanya ubunifu.wowote acha kuzubaa,anzisha hata tv program yako,naamin utafanya vizuri,achana na utajiri fake,ishi maisha yako halisi kutokana na kipato chako.FOR THE LOVE OF THE GAME.
Jifunze kuandika kwanza, uandishi mbovu kabisa na hapa unatumia keyboard ungepewa pen uandike sipati picha ingekuwaje!!
 
Jifunze kuandika kwanza, uandishi mbovu kabisa na hapa unatumia keyboard ungepewa pen uandike sipati picha ingekuwaje!!

Message umeipata??, aya kakojoe ukalale
 
ata wasanii wa marekan awategemei kuigiza tu kuna dili nyingine wanapiga. muachen wema apige pesa kwa dili zake nyingine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom