Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kei imemfanya awe maarufu na kupanda bei kila kukicha
Kwani mm nimesema nn? Red valentine ni Moja ktk michezo aloigiza wema sasa apo siasa inakuaje? We cha pombe nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kei imemfanya awe maarufu na kupanda bei kila kukicha
This is celebrity forum,kama hapakufai nenda jukwaa la siasa sawa??[/QUOTE warumi mbona unamwonea Angel Nylon? Red Valentine si ni movie aliyoact huyu Celebrity?
Na Hilo ndilo nlokusudia. Uyo warumi anayajuaje hayo. Kazi umbea tuu.
drug dealer huyo wala msihangaike+k+uchawi =utajiri
sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
wema hoyeeeeee! Kama kweli anauza k na kupata vyote bas nampongeza sana cz yeye hajakalia uchumi wake. Umewahi kujiuliza how many times umefanya ngono na watu tofauti just 4 laisure?????? Umewah kujiuliza dem wako anagawa kwa wangap bure na umaskin bad umemganda???? Uza mama cz mzinzi ni mzinzi tu na jehanam inamuhusu aliyeuza na aliyetoa bure. Kuhusu madawa maadam hajakamatwa aendelee tu mbona kuna mafisadi kibao kwenye hii biznes na hamuwasemi???????
This is celebrity forum,kama hapakufai nenda jukwaa la siasa sawa??[/QUOTE warumi mbona unamwonea Angel Nylon? Red Valentine si ni movie aliyoact huyu Celebrity?
Ok,aaaaah aaah nilikosea ku quote madam,samahani sana kwa usumbufu
Haitaji kutambulishwa,kila mtu anamjua,ila kidogo tu alikuwa miss tanzania,baada ya apo akaanza kuigiza movie ambazo hata hivyo hajawahi kufanya vizuri kihivyo zaidi ya kibebwa na umbo lake na sauti yenye mvuto,tatizo huyu dada hajitambui kabisaa,kama angeamua kuwa mtangazaji apa bongo aiseeh kipindi chake kingekuwa hot sana,sauti anayo tena nzuri,au hata angeamua kufanya ubunifu wowote kama jokate angalau ajiingizie fedha kwa jasho lake la ki halali,maana kwenye movie bado sijaona kitu hadi sasa,wema hawezi kujilinganisha na UWOYA NA AUNT,hawa wanakamua bwana na movie zao zinajulikana kuwa kweli ni waigizaji mahiri,ivi nikiuliza movie kali alizocheza wema,achilia mbali point of no return na FAMILY TEARS za kanumba miaka hiyo ni ipi hadi sasa ambayo unaweza sema kweli wema ile movie kauza na kupata hela nzuri ambyo hata ukisema amenunua opa haitaleta maswali mengi kwa mashabiki wake,leo hii unasema umenunua nyumba milion mia nne,gari la milion 200 kwa sanaa ipi??,acheni kuwadanya mabinti wadogo wanaotaka kuwa kama nyinyi waone kuwa sanaa inalipa kumbe kuna mambo yenu mnafanya,mbona akina riyama,monalisa ni waigizaji wazuri tena uwafikii hata robo,mbona wao hawana izo hela??,au wewe ndo umeigiza movie nyingi kuliko wao??,acheni izo nyinyi mnaangaliwa na wengi,watu wanaacha kulima wanakuja dar wakijua sanaa inalipa kumbe wapi,wema umebarikiwa mvuto wa kipekee jaribu kufanya ubunifu.wowote acha kuzubaa,anzisha hata tv program yako,naamin utafanya vizuri,achana na utajiri fake,ishi maisha yako halisi kutokana na kipato chako.FOR THE LOVE OF THE GAME.