Huu ndio utajiri fake wa wema

Huu ndio utajiri fake wa wema

Status
Not open for further replies.
We mwenyewe unaeandika unatamani hata ufi....l ...we upate angalau kibanda.umegongwa na wangapi toka uzaliwe hadi kuwapa ma..t....ko na hata bajaji hujapata.huo ni wivu ndugu waache wenye bahati zao wale we na mie hata tukipanga folen kwa mwaka hatupati hiyo bahati.go on Wema hayo maisha uliyonayo hakuna asiye yatamani banaa
 
Message iko clear na ina viwango vya umakini,hawa mabinti na wasanii wenye kujidanganya na vioo vya saluni wanaleta shida sana kwa wadada zetu na kujutia baadae,ila kila kitu kina mwisho na dunia haina siri ipo siku Mungu ataonesha uso wake
 
drug dealer huyo wala msihangaike+k+uchawi =utajiri

sent from my blackberry 9300 using jamiiforums

wema hoyeeeeee! Kama kweli anauza k na kupata vyote bas nampongeza sana cz yeye hajakalia uchumi wake. Umewahi kujiuliza how many times umefanya ngono na watu tofauti just 4 laisure?????? Umewah kujiuliza dem wako anagawa kwa wangap bure na umaskin bad umemganda???? Uza mama cz mzinzi ni mzinzi tu na jehanam inamuhusu aliyeuza na aliyetoa bure. Kuhusu madawa maadam hajakamatwa aendelee tu mbona kuna mafisadi kibao kwenye hii biznes na hamuwasemi???????
 
Warumi,ndugu yangu,mi naona unataka kumshupalia huyu dada,kwa vile unamwona mwanamke tu,na kuwasema vibaya wanawake kwasababu ya jinsia zao tu,si uungwana.Kwasababu bongo ninayoijua mimi,nna uhakika hujui source ya income ya watu wote wenye nazo hapo.Acha kutukana wadada wa watu.
 
chezea wema wewe,anakaaa kwenye nyumba ya kupanga anaita waandishi wa habari na kusema nyumba ni yake kainunua haha huyo ndo wema bana,mashindano mjini utayaweza?
 
wema hoyeeeeee! Kama kweli anauza k na kupata vyote bas nampongeza sana cz yeye hajakalia uchumi wake. Umewahi kujiuliza how many times umefanya ngono na watu tofauti just 4 laisure?????? Umewah kujiuliza dem wako anagawa kwa wangap bure na umaskin bad umemganda???? Uza mama cz mzinzi ni mzinzi tu na jehanam inamuhusu aliyeuza na aliyetoa bure. Kuhusu madawa maadam hajakamatwa aendelee tu mbona kuna mafisadi kibao kwenye hii biznes na hamuwasemi???????

tuanze na wewe uchumi wako umeukalia au ndo wauza nyago na wewe!!!!!!!!
 
Haitaji kutambulishwa,kila mtu anamjua,ila kidogo tu alikuwa miss tanzania,baada ya apo akaanza kuigiza movie ambazo hata hivyo hajawahi kufanya vizuri kihivyo zaidi ya kibebwa na umbo lake na sauti yenye mvuto,tatizo huyu dada hajitambui kabisaa,kama angeamua kuwa mtangazaji apa bongo aiseeh kipindi chake kingekuwa hot sana,sauti anayo tena nzuri,au hata angeamua kufanya ubunifu wowote kama jokate angalau ajiingizie fedha kwa jasho lake la ki halali,maana kwenye movie bado sijaona kitu hadi sasa,wema hawezi kujilinganisha na UWOYA NA AUNT,hawa wanakamua bwana na movie zao zinajulikana kuwa kweli ni waigizaji mahiri,ivi nikiuliza movie kali alizocheza wema,achilia mbali point of no return na FAMILY TEARS za kanumba miaka hiyo ni ipi hadi sasa ambayo unaweza sema kweli wema ile movie kauza na kupata hela nzuri ambyo hata ukisema amenunua opa haitaleta maswali mengi kwa mashabiki wake,leo hii unasema umenunua nyumba milion mia nne,gari la milion 200 kwa sanaa ipi??,acheni kuwadanya mabinti wadogo wanaotaka kuwa kama nyinyi waone kuwa sanaa inalipa kumbe kuna mambo yenu mnafanya,mbona akina riyama,monalisa ni waigizaji wazuri tena uwafikii hata robo,mbona wao hawana izo hela??,au wewe ndo umeigiza movie nyingi kuliko wao??,acheni izo nyinyi mnaangaliwa na wengi,watu wanaacha kulima wanakuja dar wakijua sanaa inalipa kumbe wapi,wema umebarikiwa mvuto wa kipekee jaribu kufanya ubunifu.wowote acha kuzubaa,anzisha hata tv program yako,naamin utafanya vizuri,achana na utajiri fake,ishi maisha yako halisi kutokana na kipato chako.FOR THE LOVE OF THE GAME.

Wacha Wee..!!!Inaonekana Unafahamu Vitega Uchumi Vyake Vyote...Au Chuki Binafsi???
 
...hv movie mnayoongelea ni ipi ya Wema....???

.. Kwani NGONO SIO MOVIES.....ndio anapata hela sana kwenye SEX MOVIES PRIVATELY....sijui hamfikiriii....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom