Huu ndio utajiri fake wa wema

Status
Not open for further replies.
Mm mwenyew nikiangaliaga huwa najiuliza..unakuta anaweka simu kama 5 mezani...mara aweke kizawadi chake cha mkufu huku akijitapa eti ni sawa na verosa..for wat.??? Na hizi hela ni halali kweli..si buree..kuna kibopa tena drug dealer...siku atakuja umbuka km wenzie jacky patrick na kajala..waume zao wananyea debe segerea
 
wema anahongwa na watu wawili. moja ni yule mdau wa ikulu/usalama ambaye alimhonga harrier na mkewe akamfanyia fujo wema na kumharibia gari pale vijana k'nondoni. pili, wema anahongwa na mtoto wa waziri mkuu mstaafu mwenye hela ndefu. ndo kamnunulia hivyo vi Audi Q7 na vijiofisi vyake uchwara vya muvi. tatizo wema anatumia hizo hela kuwahonga viserengeti boi vyake alivyovipa kazi hapo ofisini kwake mpaka diamond kanawa mikono.
 


Kumbe ukipigwa BAN akili inakaa sawa eeh?
Kwa mara ya kwanza naona leo umetema madini...

Sasa urudie tena kuandika uharo wako ule na kututusi na kutupinga wakubwa zako...
 
ok,ila kumbuka watu wanatoka vijijini kuja mjini ili waigize wawe kama wema sepetu,hawajui whats behind matokeo yake wanakuja wanaambulia kubakwa na maproducer na kuambukizwa ukimwi


Dah leo unanifurahisha sana...
 
Nenda majembe auction mart utakuta ma x6 bmw na ma vogue yamekamatwa na TRA baada ya kugundulika yalisajiliwa kama pikipiki na mengine yaliingizwa kama spare na scrapper baada ya kukatwa vipande viwili na,baadae kuunganishwa tena, ndio haya tunayoringishiwa mtaani
Jiulizeni kwanini hii midude Siku hizi imeadimika mitaani? Nenda majembe mwenge njia ya kwenda cocacola ukajionee
 
Jamani tafsiri ya utajiri ni kubwa. Je una biashara Zipi? Zinakuingizia kiasi gani kwa Siku kwa wiki kwa mwezi na kwa Mwaka? Una vitega uchumi vingapi? Vinakuingizia bei gani? Una hisa kwenye makampuni mangapi? Una solid cash kiasi gani bank? Bima ya biashara zako ni kiasi gani? Umeajiri wafanyakazi wangapi? Una hadhi ya nyota ngapi? Una miliki magari mangapi ya kifahari? Yasiwe mitumba, una majumba mangapi ya kifahari ya kuishi mwenyewe? Una miliki boat au ndege binafsi? Nk nk .
..!
 
Kweli inatisha so unataka uambiwe pesa zake anapata wap pole utasubiri sn.
 
wema mwenyewe rangi na nasura ya kutisha km kitimoto. kuna siku nilikuwa Gold Crest Mwanza nikamkuta wako na jamaa wawili nikamwona kwa karibu duh km jini afu ana miguu ya miwa du hata bure hapana jogoo anaweza kugoma
 
Hayo mambo mengine ndo yamemuweka Wema kuwa mwanamke tajiri kuliko wasanii wote tz heshimu uheshimiwe na uache kufatilia bizness zisizokuhusu

Kwenye ukweli acha aambiwe.
 
Hahaha kuna mdada aliandika fb 'hongera wema. Manake kama ni kuuza k wote tunauza ila gulio unapouzia wewe ni kiboko!'
Nilicheka sana.
Kei imemfanya awe maarufu na kupanda bei kila kukicha
 
Wema ni container,wema anahongwa na mapedejee kwa ukuwadi na kuuza mabinti pia na yeye uchumi wake hajaukalia.
 
that's a fact kaka,ulichojiuliza wewe nishawahi kujiuliza pia,good advice
 
that's a fact kaka,ulichojiuliza wewe nishawahi kujiuliza pia,good advice

Swali halimhusu Wema tuu, pia watanzania wengine ambao life styles zao hazilingani kabisa na official/known sources of income. Hapa tujiulize kwa mazingira ya Tanzania honest ,legit work inalipa kweli au one has to be morally bankrupt inorder to be rich and famous?
 
Sikusoma kabisa boss, mwandiko mbovu sana no paragraph utadhani ni ngumbaru ndio ameandika.

Ivi wewe mzima kweli??,kama hujasoma umejuaje kuwa mwandiko mbaya??,nikuwekee paragraph ili iweje??,kwa lipi aswa??,message kama umepata haina shida hayo mengine sidhani kama yana umuhimu sawa???
 
du umbeya hauna posho.mbona riz 1.ana mabilion hamuulizi katoa wapi?WEMA MJASIRIAMALI HAKALII UCHUMI BADO MNAMFUATA MWACHENI MTOTO APENDEZE

Huyo si inajulikana sasa utauliza nn wakt mambo yapo wazi
 
Heshima mshiko baab ata kama anagawa pusy ila bongo wanachotolea heshima na chapaa na heshima ya mwisho ni maiti wajati wa safari ya mwisho
 
Celebrities forum,kam hapakufai nenda jukwaa la siasa sawa??

kwa lugha nyepesi huu unitwa umbea na majungu una jaji utajiri wa mtu kua ni feki au real utakusaidia nini wewe jaji njia alizotumia zikusaidie kuupata na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…