Huu ndio utajiri wa kweli vitu vingine ni blablabla tu.

Huu ndio utajiri wa kweli vitu vingine ni blablabla tu.

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Nikiangazia kutokana na msingi wa first principle of thinking:
- Pesa ni token tu ambayo inatumika kama medium ya exchange na inawakilisha thamani ya vitu halisi. Lakini sio utajiri wenyewe.

- Wealth(Utajiri wa kweli) ni:
- Asset zinazoweza kufanya uzalishaji huku umelala.
- Ujuzi ambao mtu hawezi kuuchukua kwako kwa urahisi.
- Afya Bora inayokusaidia uweze kufanya majukumu yako.
- Muda ambao unaweza kuucontrol wewe mwenyewe.
- Uhusiano mzuri na watu unaokusaidia kuwa Bora zaidi.
- Mwisho ni uhuru.

Vingine vyote ni blaabla
 
Nadhani bado ujaelewa kinachozungumziwa hapa mbona hujagusia asset can't I change an asset to money then money to product. Money is just a token sasa unapata je hiyo token bila kutafuta namna ya kutengeneza thamani mkuu?
Na ww hujaelewa comment yangu.

Sinagusia asset mana hizo Unaweza kununulia kitu.

Nmesemea afya mana huwez kununua kitu kupitia afya yako nzuri.
Huwezi kununua kitu kupitia uhuru wako wala mahusiano yako
 
Ukiweza kujitengenezea mfumo wako wa ikolojia (ecosystem), huo ndio utajiri.
  • Ule ugali kutoka shambani mwako
  • Ule wali kutoka shambani mwako
  • Ule mayai kutoka bandani mwako
  • Ule nyanya/vitunguu kutoka bustanini kwako
  • ule nyama kutoka bandani au zizini kwako
  • Unywe juisi kutoka kwenye bustani yako
  • Ule mboga za majani/maharage kutoka shambani mwako
  • n.k
 
Umekuwa mporipori sana
 
Sustainable life hiyo, off-grid lovers hawa au homesteaders tupo kule Reddit kwenye community fulani.
 
Back
Top Bottom