Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Sawa, chukua huo uhuru, uhusiano mzuri, afya ukanunulie bidhaa
Na ww hujaelewa comment yangu.Nadhani bado ujaelewa kinachozungumziwa hapa mbona hujagusia asset can't I change an asset to money then money to product. Money is just a token sasa unapata je hiyo token bila kutafuta namna ya kutengeneza thamani mkuu?
Na ww hujaelewa comment yangu.
Sinagusia asset mana hizo Unaweza kununulia kitu.
Nmesemea afya mana huwez kununua kitu kupitia afya yako nzuri.
Huwezi kununua kitu kupitia uhuru wako wala mahusiano yako
Uzuri hivi ukishakuwa navyo hukosi hela ya kununua bidhaaSawa, chukua huo uhuru, uhusiano mzuri, afya ukanunulie bidhaa
Uzuri hivi ukishakuwa navyo hukosi hela ya kununua bidhaa
Na wahenga wanasema muda na afya ni AssetPesa siyo mafanikio bali ni matokeo ya kufanikiwa. Huwezi kupata pesa kama hujafanikiwa.
Utajiri ni wingi wa vyanzo vya pesa. Asset ndiyo chanzo cha pesa.
Hivi mtoa uzi yupo sahihi
Umekuwa mporipori sanaUkiweza kujitengenezea mfumo wako wa ikolojia (ecosystem), huo ndio utajiri.
- Ule ugali kutoka shambani mwako
- Ule wali kutoka shambani mwako
- Ule mayai kutoka bandani mwako
- Ule nyanya/vitunguu kutoka bustanini kwako
- ule nyama kutoka bandani au zizini kwako
- Unywe juisi kutoka kwenye bustani yako
- Ule mboga za majani/maharage kutoka shambani mwako
- n.k
Ata ikitokea lockdown ya miaka 10 unaweza ishi kwakuwa una vitu vyote muhimu.Umekuwa mporipori sana
Ukiweza kujitengenezea mfumo wako wa ikolojia (ecosystem), huo ndio utajiri.
- Ule ugali kutoka shambani mwako
- Ule wali kutoka shambani mwako
- Ule mayai kutoka bandani mwako
- Ule nyanya/vitunguu kutoka bustanini kwako
- ule nyama kutoka bandani au zizini kwako
- Unywe juisi kutoka kwenye bustani yako
- Ule mboga za majani/maharage kutoka shambani mwako
- n.k
Ata ikitokea lockdown ya miaka 10 unaweza ishi kwakuwa una vitu vyote muhimu.
Kuna mazingira fulani hela huwa haifanyi kazi.October 29 usingehangaika 😂
Nakazia tena...Kuna mazingira fulani hela huwa haifanyi kazi.
Tutunze vitu na vyakula, tusitunze helaNakazia tena...
tuendelee kujiandaa na el nino kuna mazingira hela is nothing!
Hakika mkuu.... tena uwe na chakula cha kula bila kupika.......sio unanunua ngano na mahindi tu! nunua hata michembe utatafuna wakati wa dharura!Tutunze vitu na vyakula, tusitunze hela