Huu ndio utajiri wa kweli vitu vingine ni blablabla tu.

Kuna mazingira fulani hela huwa haifanyi kazi.

Yeah, kama mahali kwenye vita sasa hivi Hela inakusaidia nini maana hamna anaethubutu kutoka au Congo maeneo yenye vita hata ukiwa billionaire huna msosi hela inakuwa haina kazi kwenye muktadha huo.

Sustainable life ni nzuri sana maana hata bila mia unasurvive vizuri.
 
Bila pesa ni sawa useme mdomo ni ulimi,meno nk na usitaje mate utakuwa umezingua, Cash ni kitelezo Cha utajili hivyo la
 
AFYA Kwanza.
 
Hivi kwann sisi masikini tunapenda sn kuongea maneno ya kishujaa?
Kuna muda tukubali ukwl ili tuzidi kupambana tupate pesa..
Pesa ndy kila kitu mkuu wacha kujipa faraja kwa kujificha kwenye kichaka cha afya njema na ujuzi wa mikono.
Umasikini ni mbaya sn, tena ni maumivu sn ya moyo na akili.
 

Mkuu pesa ni nini? Vs Utajiri ni nini?


Maana naona kuna watu uelewa wao sio mzuri kwenye issue ya uchumi.
 
Bila pesa ni sawa useme mdomo ni ulimi,meno nk na usitaje mate utakuwa umezingua, Cash ni kitelezo Cha utajili hivyo la

Pesa ni nini na lengo la kuinvent pesa ni nini? Tanzania ni nchi ambayo ingeamua kuprint pesa ziwe nyingi tuzidi uchumi hata nchi jirani kama Kenya unadhani ni kwanini hatufanyi hivyo.

Kwanini matajiri hawana cash lakini bado tuwaita matajiri. Anyway embu toa maana ya wealth and think of it does. Wealth means money?
 
Nikajua kuna madini kumbe...
 
Nikajua kuna madini kumbe...

Toa madini mkuu ulidhani tutaja vitu vya kufanya jambo ambalo wewe kwenye eneo lako uhusika unatakiwa kufikiria na kufanya utafiti wa kina.

Kwahiyo, sijui unamaana gani kusema hivi pengine utuambie utajiri ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…