Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaitwa kuhamia Dodoma....TFF Mungu anawaona aisee c kwa kiwanja hiki
Simba Dodoma ni kama nyumbani, hapo mbao ndio wameingizwa chakike!Ila fitna imeanza hiyo moja naiona mbao ikipata maookez makubwa dodoma na maandaliz murua toka azam yanga na tff ya malinzi kila laheri kwao