Rais wa Tff Jamal Malinzi acha chuki katika soka ,hasa kuichukia Timu ya Simba...mbona habri unayotoa unajichanganya ....mara umesema mtapanga uwanja kupitia droo ...mara uwanja wa taifa unatakiwa kufanyiwa maengenezo makubwa ......mara fainali ikachezewe uwanja wa jamhuri Dodoma eti kwasababu serikali yenyewe imeanza mchakato wa kuhamia huko ..sawa lakini hili neno la kusema unataka kubalance timu kwamba....Dar simba ni nyumbani kwahiyo mchezo wa fainali hauwezi kuchezwa huko...
Hakika kheri ya kipindi cha Ndolanga kuliko ujinga anaofanya Jamal Malinzi ....hunaonesha wazi unachuki binafsi.....soka haliwezi kuendelea kwa kuendekeza ujinga huu..