Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Huu ndio uzi mpya wa Stars,sasa ni full ushindi!!!

Njaa mbaya sana.....Jezi ya timu ya taifa haina hata jina la kampuni iliyotengeneza...mmeshindwa hata kutuzuga na Uhl sport au basi mngeweka hata lebo ya kappa
 
Njaa mbaya sana.....Jezi ya timu ya taifa haina hata jina la kampuni iliyotengeneza...mmeshindwa hata kutuzuga na Uhl sport au basi mngeweka hata lebo ya kappa

hivi mkuu na lebo ya kappa hua inacheza? acha kua kama sio mvutaji bana
 
Uongozi wa sasa mmeshindwa nini kuboresha jezi ambazo watanzania walisha zikubali na wakawa wanazivaa wengi mimi bado nitajisikifahari kuvaa zile za zamani hizi sioni kama zinatuwakilisha kitaifa katika rangi
 
Jezi mbaya sana hizi, bora zile nyeupe fulani hivi...
 
Back
Top Bottom