Njaa mbaya sana.....Jezi ya timu ya taifa haina hata jina la kampuni iliyotengeneza...mmeshindwa hata kutuzuga na Uhl sport au basi mngeweka hata lebo ya kappa

Uongozi wa sasa mmeshindwa nini kuboresha jezi ambazo watanzania walisha zikubali na wakawa wanazivaa wengi mimi bado nitajisikifahari kuvaa zile za zamani hizi sioni kama zinatuwakilisha kitaifa katika rangi