Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kutojielewa kwa mtu ndo kunapelekea mwisho wake kuwa hivo.... Kwani ni wangapi hata hapa bongo wanastaafu kazini na bado wanakuwa na maisha magumu?siwezi fanya ujinga huo maana mwisho huwa watu wenye uchumi wa kawaida tu
Mkuu maisha nikamari tusiwezi fanya ujinga huo maana mwisho huwa watu wenye uchumi wa kawaida tu
Nikweli ila saizi milango ipo wazi sana kama mwanao anakipaji,siyo lazima awe TzTz sio ulaya
919.5 million Tanzanian shillings KWA WIKI
Eden Hazard’s contract at Real Madrid:
💶 YEARLY £19,200,000
💶 MONTH £1,733,333
💶 WEEK ££400,000
💶 DAY £57,142
💶 HOUR £2,380
💶 MINUTE £39
💶 SECOND £0.66p
View attachment 1126901
Inawezekana Mkuu maana siyo hela zanguHalafu hesabu kama umekosea hivi maana kwa £400,000 kwa wiki kwa mwaka inatakiwa iwe £20.8 million
mkuu, mimi nimependa tu hilo jina lako limekaa ki Kongo-Kongo. wewe ni Mkongomani?Eden Hazard’s contract at Real Madrid:
💶 YEARLY £19,200,000
💶 MONTH £1,733,333
💶 WEEK ££400,000
💶 DAY £57,142
💶 HOUR £2,380
💶 MINUTE £39
💶 SECOND £0.66p
View attachment 1126901
Eden Hazard’s contract at Real Madrid:
💶 YEARLY £19,200,000
💶 MONTH £1,733,333
💶 WEEK ££400,000
💶 DAY £57,142
💶 HOUR £2,380
💶 MINUTE £39
💶 SECOND £0.66p
View attachment 1126901
Ndiyo Mkuu,nimezamia Bongo kuishi tu,karibu sana Tarime hapa.mkuu, mimi nimependa tu hilo jina lako limekaa ki Kongo-Kongo. wewe ni Mkongomani?
that aside, kwa hii ya Hazard nakushauri just stay in your lane chief...traffic becomes friendly!
Anacho amefuata cha Baba wa Babu yetuSawa utanipeleka mwanao Academy, Je ana kipaji Kama Cha Hazard???
Siwezi fanya ujinga huo maana mwisho huwa watu wenye uchumi wa kawaida tu