Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenunua galasa. Madrid walipatia kwa Cr7 tu
Hapo Mungu amecheza sana uwiano na ndipo heshima inapopatikana baina ya aliyesoma na asiyesoma japo elimu ina nafasi kubwa sana kimaisha.Watanzania bwana! Tulishaona bila shule maisha hayaendi....wako walioishia la 7 na form 4 na ndio matajiri na wamewaajiri wenye madegree yao [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu hawa wasomi mpaka wanastaafu hawana gari wala nyumba..