Huu ndiyo mshiko wa Eden Hazard Real Madrid,unaweza kumwachisha mtoto Shule umpeleke Soccer Academy

Huu ndiyo mshiko wa Eden Hazard Real Madrid,unaweza kumwachisha mtoto Shule umpeleke Soccer Academy

Wamenunua galasa. Madrid walipatia kwa Cr7 tu
 
Huu ndiyo mishahara sasa acha na vile vifuta jasho vinavyoanzishiwa threads kila mwezi.
Natania
 
Watanzania bwana! Tulishaona bila shule maisha hayaendi....wako walioishia la 7 na form 4 na ndio matajiri na wamewaajiri wenye madegree yao 😂 😂 😂 cha ajabu hawa wasomi mpaka wanastaafu hawana gari wala nyumba..
 
Watanzania bwana! Tulishaona bila shule maisha hayaendi....wako walioishia la 7 na form 4 na ndio matajiri na wamewaajiri wenye madegree yao [emoji23] [emoji23] [emoji23] cha ajabu hawa wasomi mpaka wanastaafu hawana gari wala nyumba..
Hapo Mungu amecheza sana uwiano na ndipo heshima inapopatikana baina ya aliyesoma na asiyesoma japo elimu ina nafasi kubwa sana kimaisha.
 
Mpira wa siku hizi sio kipaji 90%ya wachezaji duniani wanafundishwa tu(taaluma)ndio maana wenye vipaji Messi na Ronaldo zaidi ya miaka kumi wanatesa
 
Back
Top Bottom