Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
20240922_102933.jpg
20240922_103011.jpg

Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
 
Izo Link zinatoka baada ya kufunzu makundi? au baada ya team kufuzu hatua ya robo fainali?
Kila hatua zinaji auto update, kuingia tu makundi Yanga tayari ni alama 1 (assumption kwamba itamaliza wa mwisho kundini) 1×5=5
Simba kama leo itafuzu ni alama 0.5
(assumption kwamba itamaliza wa mwisho kundini) 0.5×5=2.5

Usichoelewa hapo ni kipi?

Nadhani ungejikita kuomba leo muingie makundi shirikisho
 
Back
Top Bottom