Huu ndiyo msimamo wa CAF 5 Year ranking mpaka sasa

Izo Link zinatoka baada ya kufunzu makundi? au baada ya team kufuzu hatua ya robo fainali?
Kila hatua zinaji auto update, kuingia tu makundi Yanga tayari ni alama 1 (assumption kwamba itamaliza wa mwisho kundini) 1Γ—5=5
Simba kama leo itafuzu ni alama 0.5
(assumption kwamba itamaliza wa mwisho kundini) 0.5Γ—5=2.5

Usichoelewa hapo ni kipi?

Nadhani ungejikita kuomba leo muingie makundi shirikisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…