JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachome😀Haya nendeni mkalichafue tena
Ova
Sasa kafanya nini? Badala ya kuja na kitu kipya (from scratch) anaishia kukarabati! Na lilivyoungua ulaumiwe basi!Good work madam president
Unaweza fikiria lilichomwa makusudi ili walipange vizuri..
Sasa mlundamano sindo pesa zenyewe na mijizi unataka ikose maokoto?.Kila manispaa ya Dar - Kigamboni, Kinondoni, Temeke, Ubungo, na Ilala yenyewe iwe na soko na maeneo ya biashara aina hiyo kupunguza mlundikano wa watu sehemu moja.
Bado nitaendelea kumlilia na kumuenzi Mh JPM ulale salama Baba.