Huu ndiyo muonekano wa soko jipya la Kariakoo

Kila manispaa ya Dar - Kigamboni, Kinondoni, Temeke, Ubungo, na Ilala yenyewe iwe na soko na maeneo ya biashara aina hiyo kupunguza mlundikano wa watu sehemu moja.
 
Kila manispaa ya Dar - Kigamboni, Kinondoni, Temeke, Ubungo, na Ilala yenyewe iwe na soko na maeneo ya biashara aina hiyo kupunguza mlundikano wa watu sehemu moja.
Sasa mlundamano sindo pesa zenyewe na mijizi unataka ikose maokoto?.
 
Kongole kwa mheshimiwa Raisi kwa kuendelea kutunza kumbukumbu na heshima ya msanifu majengo wa kwanza mzawa, marehemu Beda Jonathan Amuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…