enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 2,624
- 9,987
Heri utung’amulie tu wengine tunasoma kama hadithi..Tujikiteni kwenye mafunzo ya Biblia takatifu na milango 12 ya makabila tukufu ya Israel itatusaidia kung'amua haya mambo na kutoleta sintofahamu.
Mwezi ni celestial body it's is just like a rock inside ina maji(inform of ice) na it is made up with rocks. Likely mwezi hauna utofauti sana kama tuvyo uona upande wa pili ingawa our side Ina weusi mwingi kwingine kina creates and some mountains. Pia Ina layer kama kawaida Core, Mantel and Crust. Huu upande tuona unaitwa maria(weusi unatokana na volcanic eruption za muda mrefu), ila upande wa pili una creates nyingi sana tofauti na huu tuna uona.
Kumbe, sasa kwanini unang’aa usiku?Mwezi ni celestial body it's is just like a rock inside ina maji na it is made up with rocks. Likely mwezi hauna utofauti sana kama tuvyo uona upande wa pili. Pia Ina layer kama kawaida Core, Mantel and Crust. Huu upande tuona unaitwa maria, ila upande wa pili una creates nyingi sana tofauti na huu tuna uona.
Mwezi unapata mwanga, hautoi mwanga in our solar system only the sun ndio chanzo cha mwanga. Pia upande wa pili unapata mwanga though hatuoni, the reason ni tidal locking kwa maana gani mwezi una spin sawa na Dunia matokeo yake tunaona only one side huu wenye maria.Kumbe, sasa kwanini unang’aa usiku?