Pre GE2025 Huu ndiyo ubunifu wa wasanii au ni kujitoa akili?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.

Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

Je, huu ni ubunifu au kujitoa akilia?

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Hao ni wapumbavu na uchawa ushaingia hadi kwenye njia ya kupumulia aiseeeee.....☹️
Rubbish kabisa, eti hawa nao ni wababa na waume za watu..... aibu ya taifa hii...😕
 
Imagine mkuu, na siku moja ndiyo tutakuwa wazee hahahaha halafu wazee wenzetu ndiyo watakuwa hawa
 
Hawa wanatafuta pesa, hawana mapenzi yoyote na chama hicho Cha kijani zaidi wanatafuta pesa ili kuendesha maisha yao . Wasilaumiwe.
Hata CHADEMA ikishika dola Kwa mfano utaona kina mwijaku na machawa wengine wakiisifia CHADEMA na viongozi wao
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.

Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

Je, huu ni ubunifu au kujitoa akilia?
View attachment 3225832
 
Hiyo ndiyo mizezeta inayosababisha ccm kuendelea kutawala Watanganyika.
 
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.

Soma pia: Pre GE2025 - Wasanii wanahamasisha vijana kushiriki UVCCM marathon, ila kwenye baadhi ya mambo mfano kutekwa kwa raia wapo kimya

Je, huu ni ubunifu au kujitoa akilia?
View attachment 3225832
Kesho huyu unamkuta ni mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya/mkoa.
kweli tunahitaji katiba mpya.
 
Back
Top Bottom