Wasanii wengi wa bongo wana UDUNYA ,USHAMBA NA WOGA,wanafikiri bila kujikomba komba kwa ccm hawawezi kufikia malengo yao,
Hii wanachokifanya hao ni kujidhalilisha tu kuna wakati bora ukose kuliko mwanao aone unatafuta kwa kujifanya mwendawazimu
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.
Wakuu nimeona Msanii Stan Bakora akiwa na mwijaku wanaigiza kama wamepatwa na kichaa huku wanagalagala chini, lengo likiwa ni kusheherekea miaka 48 ya CCM.