Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo ya Mungu mengi. Tunaweza sema Genk ingekubali dau la Cardif kwa Samata bas yasingemkuta haya.Yaani na mahela yote hayo akapanda ndege ambayo inatoka shirika la ndege zisizoaminika. Angepanda hata commercial tu. Pia inasemekana mwenyewe alikuwa hataki kuhama team kwenda huko. Sema uongozi ukawa umeshaamua. R.i.p Salah na Pilot ,maana mpaka leo masaa 48 hawajapatikana na hii barafu. Matumaini Ya kuwapata wazima ni "Slim"
Alikodi ndege BinafsiYaani na mahela yote hayo akapanda ndege ambayo inatoka shirika la ndege zisizoaminika. Angepanda hata commercial tu. Pia inasemekana mwenyewe alikuwa hataki kuhama team kwenda huko. Sema uongozi ukawa umeshaamua. R.i.p Salah na Pilot ,maana mpaka leo masaa 48 hawajapatikana na hii barafu. Matumaini Ya kuwapata wazima ni "Slim"
Ndege binafsi hiyo yenyewe ukiiona, ni risc kabisa kukatiza nayo sea usiku. Polisi wamesitisha utafiti leo, He is presumed dead.
Inasikitisha,Ndege binafsi hiyo yenyewe ukiiona, ni risc kabisa kukatiza nayo sea usiku. Polisi wamesitisha utafiti leo, He is presumed dead.
Tamaa ya pesa mmiliki wa ndegepia kuna taarifa kuwa ndege hio ilijaribu kupaa mara kadhaa ikafail sa sijui kwann waliendelea kujaribu mpk ikakubali ikaondoka aisee!
Ndo imeshatoka hiyo. Hakuna anayewatafuta tena. The search has been called off. Search for footballer and pilot called offR.i.p Salah na Pilot ,maana mpaka leo masaa 48 hawajapatikana na hii barafu. Matumaini Ya kuwapata wazima ni "Slim"
Well said kiongoziFlights Black box should now be connected to gps for location matters
Sent using Jamii Forums mobile app