Outcrop Rock
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 275
- 398
Huna timu wewe,Horoya tuliyemkosakosa kwao ndio ataifunga Simba kwa Mkapa? Tena kwenye mechi ya DO or DIE?
Katika tafiti zangu, nimegundua Club ya yanga ina-power kubwa sana katika Propaganda za soka Tanzania. Endapo utashindwa kuutazama mpira kwa jicho lako(Independently) basi utafikiri kile wanachotaka ufikiri wao(Yanga), pia utaona kile ambacho wanachotaka uone wao (Young Africans).
Japo, nitakuja na uzi siku moja kuhusu hili, ili nieleze kiundani kabisa, ila hizi ni moja ya sababu zinazowafanya wa-win propaganda za Soka Tanzania.
1. Uwezekezaji katika media: Wamejitahidi sana kuwekeza katika media bora na kwa wachambuzi sahihi(Naomba nisiwataje majina, sina mwanasheria kwa sasa). Ila wengi najua mnawajua.
2. Nature ya Mashabiki wao: Sipendi kum-quote Haji Manara, lakini katika jambo ambalo alikua sahihi, ni hili la mfanano wa akili za mashabiki wa Yanga. Angalia hata hapa JF threads nyingi za mashabiki wa Yanga unaweza sema ni mtu mmoja, ila ID ndiyo tofauti(Kama bado hujaliona hili, chunguza kwa umakini). Wote nia wabishi sana, wanaweza pindisha hata facts. I think wana Mad Love na timu yao.
Mtazamo(Ushindani vs Ukinzani): Ni mara nyingi naona threads za mashabiki wa Simba wakisifia, like Mwananchi ametembeza soka safi leo, Mayele yupo vizuri, Diarra yupo vizuri, Nabi ni kocha wa mpira e.t.c. Ila Yanga ukiona wanasifia kitu Simba basi jua huo ni mtego au hicho kitu hakipo kwa sasa pale msimbazi.
- Konde Boy, Chama, watakuambia ni wachezaji wa kawaida sana.
-Ubora wa Mgunda, walisema ni Jeans yake inatupa matokeo.
-Utampiga Al Ahly yule bora, watakuambia Corona hiyo.
- watapokea wapinzani wa Simba airport.
-Watajaa Uwanjani kushangilia mpinzani wa Simba.
So, Wakati Simba anachukulia kama Yanga ni Mtani/Mshindani wake(Ndani ya ligi). kichwani mwa wana-Yanga wanamuona kama Simba ni MKINZANI wao.
-Best Daddy
Simba haikuwekwa hilo kundi kwa bahati mbaya, iliwekwa kutokana na ranking.
kabla ya kupanga makundi timu za rank ya juu huwekwa pot yake, rank ya inayofuata pot yake, timu za rank ya kati pot yake na rank za mwisho pot yake ili kuepuka timu nzuri zote kuwekwa kundi moja au timu vilaza zote kuwekwa kundi moja.
Simba isingeweza kuwekwa kwenye kundi lenye timu mbili za kiarabu sababu ilikuwa kwenye pot moja na timu nyingi za kiarabu.
Hata hivyo kama hujui, Simba ilishawekwa kwenye makundi na timu za kiarabu na ikazipita, kama umeanza kufuatilia mpira mwaka huu ngoja nikuwekee.
View attachment 2547123
View attachment 2547122
simbwa bwana! mechi 2 mkononi mnaanza majigambo
Acha uongo Morroco national team kuna mchezaji mmoja tu beki wa WYDAD anaecheza national teamWakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu.
Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo.
Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika, tazama msimamo wa makundi CAFCL.
Club zote zilizo katika nafasi ya kwanza na ya pili zinatoka katika nchi za kiarabu isipokuwa club mbili tu, Simba na Mamelodi Sundows ya Africa Kusini.
Kwa wasiojua soka la Afrika vizuri, mataifa ya Kiarabu ni mtaifa tajiri sana na wachezaji wake hawaendi kucheza ligi za Ulaya kama mataifa ya Afrika Magharibi.
Mfano Timu ya taifa ya Morocco ambayo ilifanya vizuri kombe la Dunia na kufika nusu fainali, asilimia 90% ya wachezaji wake wanatoka kwenye club ambazo Simba inashindana nazo kwenye Champions League.
View attachment 2546980View attachment 2546981
Nyie mtaingia lini Makundi ya klabu bingwa?Bahati mbaya sana sana kwa mbumbumbu FC, mwisho wenu ni Tarehe 18/3 mwaka huu. Robo fainali mtaiangalia ZBC2.
Young Africans ndio timu ya kwanza hapa Tanzania kuingia makundi. Ilikuwa 1998, mechi ya kufuzu alimtwanga Coffee ya Ethiopia (wakati huo ilikuwa coffee kweli kweli) magoli 6-1 hapo shamba la Bibi. Mechi ya mwanzo kule Ethiopia walifungana 2-2Nyie mtaingia lini Makundi ya klabu bingwa?
Mkuu vipi?😂😂Mmekaa nafasi ya Horoya ngoja wiki hii wenyewe wachukue nafasi yao mbwa nyinyi.
Kwa sasa unasema ni majigambo bado?simbwa bwana! mechi 2 mkononi mnaanza majigambo
Kweli umedundaKila la heri Makolokolo, ilimradi tu msije kuukimbia uzi mpira utapodunda.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Amka utajihalishiaBahati mbaya sana sana kwa mbumbumbu FC, mwisho wenu ni Tarehe 18/3 mwaka huu. Robo fainali mtaiangalia ZBC2.
Young Africans ndio timu ya kwanza hapa Tanzania kuingia makundi. Ilikuwa 1998, mechi ya kufuzu alimtwanga Coffee ya Ethiopia (wakati huo ilikuwa coffee kweli kweli) magoli 6-1 hapo shamba la Bibi. Mechi ya mwanzo kule Ethiopia walifungana 2-2
Kocha alikuwa mzawa (nadhani ni marehemu kwa sasa). Baada ya kuivusha kocha akanyang'anywa timu akapewa mgeni.
Kilichowakuta huko Uto watahadithia wenyewe.
nadhani mengine yako sawa ila la 90% ya wachezaji wa morocco kucheza ligi ya kwao si kweli na unaweza kupitia upya wasifu wao. simba nguvu moja daima.Kweli umedunda
Ongezaaaaaa sautiiiiiiiiiiiiiii.Hakuna kama Simba SC, Simba ndo timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati.
UtopwinyoBahati mbaya sana sana kwa mbumbumbu FC, mwisho wenu ni Tarehe 18/3 mwaka huu. Robo fainali mtaiangalia ZBC2.