Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Tumsifu Yesu Kristo
Moderator tafadhali Uzi huu usiunganishe kwingineko
Wadau hamjamboni nyote?
Wakristo tokea mwanzoni waliabudu jumapili ambayo ni ishara ya uumbaji ikiachana na sabato iliyoashiria uumbaji wa zamani
Naweka ushahidi kuhusu Jumapili huo kama ifuatavyo
Kwamba Yesu Kristo
Alifufuka kutoka wafu (Marko 16:9).
Alikutana na wanafunzi wake (Marko 16:9)
Alikutana na na wanafunzi wake maeneo mbalimbali (Marko. 16:9-11; Mathayo. 28:8-10; Luka 24:34; Marko. 16:12-13; Yohana. 20:19-23).
Aliwabariki wanafunzi wake (Yohana 20:19).
Akiwapatia wanafunzi wake kipawa cha roho Mtakatifu (Yohana 20:22).
Aliwabariki na kuwaruhusu wanafunzi wake kuhubiri injili: (Yohana 20:21; Marko 16:9-15).
Alipata mbinguni na kuketi mkono wa kuume wa Baba(Yohana 20:17; Waefeso 1:20).
Injili ya Yesu Kristo ilihubiriwa kwa mara ya kwanza (Luka. 24:34).
Alifundisha maandiko matakatifu Kwa wanafunzi wake (Luka. 24:27, 45).
Roho Mtakatifu alishuka siku ya pentekosto ( matendo ya Mitume ).
Wakristo walikutana na kuabudu (matendo ya Mitume 20:6-7; 1 Wakorinto 16:2).
Tangu siku hizo, Wakristo wengi sana wamekutana ili kuabudu siku ya kwanza ya juma. Wanafanya hivyo kwa heshima ya ufufuo wa Mwokozi wao. Kristo alikuwa kaburini siku ya sabato na alifufuka kama mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu siku ya kwanza.
Usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu