TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi.
Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza.
Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili sijaona block yoyote kutuzuia miezi michache ijayo.
Niseme kweli tupu, kabla ya Dodoma na hata sasa uchaguzi wa Chadema ndiyo moja ya uchaguzi unaofuatiliwa na kuingilia hadi na sisi wenye nchi.
Hakika inaonekana kabisa hata wao CHADEMA wanaenda kufanya mapinduzi makubwa katika historia yao ya chama na wakikosea naona kabisa chama kinaenda kuwa sawa na CHAUMA.
Lolote linaloendelea sasa CHADEMA hadi system wanachungulia, na kuna jamaa anasema iwe mvua au jua hawezi kuachia kijinga bora kimfie mikononi mwake lkn alichoambiwa na mamake ni asithubutu.
Yetu macho na masikio.