Huu ndiyo uongozi sasa baada ya kupatwa kwa miaka mitano iliyopita!

Kuhusu ajira hakika omeongea ukweli mtupu
Mapungufu yapo ktk kila uongozi na yataendelea kuwepo mkamilifu hakuna cha msingi unafuu tu
 
Ni mapema sana kuusifu utawala wa awamu ya LAKINI ni dhahiri sana kuwa katika awamu ya 5, Taifa liliingia kwenye giza nene, la utawala wa ajabu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye historia ya Taifa ili vizazi vijavyo vipate kujua kuwa ndani ya Tanzania huru alitokea mtawala dhalimu kuliko hata mkoloni aliyedhalilisha watu, kuteka watu, kutesa, kuua, kupoteza, kuua misingi ya demokrasia na utawala bora, kuharibu mihimili ya Taifa. Mtawala huyo aliua uchumi lakini alitumia vyombo vya habari kuwahadaa wananchi kuwa uchumi ulikuwa unapaa. Na wajinga wengi kwa kupitia propaganda za vyombo vya habari, wakamwamini. Kiongpzi huyo hakuweza kutofautisha kati ya mali yake binafsi na mali ya nchi. Alitumia pesa za serikali kama pesa zake binafsi.
 
Mkuu,wanaomchukia mama Ni sukuma gang, na Kuna kundi fulani wao kwao kiongozi Bora hawe mkristo tu,akiwa muislamu Ni nongwa,
 
Bado nasubiri mradi wa barabara kimara to kibaha ukamilike naona mapipa tu yamejaa barabarani...vipi barabara ya kawawa kutoka magomeni makandarasi wameendq wapi wanatuachia mashimo?
 
Yaani utamwaga ajira kwa kutegemea pesa ya tozo uliyopora kwa walalahoi, kuna watu vichwa ni vya kufugia nywele tu aisee....
 
N
No leader of this era in Tanzania will equal The Late President John Pombe Joseph Magufuli!
 
Unayemsifia kwenye kampeni zilizopita alitetea hoja kwamba wametoa ajira milioni nane kwa miaka minne leo tena imekuwaje
 
Enzi za Magufuli uliuliza swali kama hili?
Majibu yake yalikuwaje
Unataka like au unataka kupata Elimu?
👇🏾
JIBU: Enzi za Magufuri wahitimu walijua in out after certified NO employment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…