Huu ndiyo utaratibu wa Diamond Platnumz kubadili jina

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,393
Reaction score
3,237
Mzee Abdul Juma amemtaka Diamond Platnumz abadili jina aache kutumia jina la Abdul Juma badala yake atumie jina la anayedaiwa kuwa baba yake yaani Nyange Salum.

Utaratibu wa kubadili jina upo hivi,

1. Diamond atafute mwanasheria wa kumuandalia Deed poll (Kiapo cha kubadili jina) siku hizi Kuna wanasheria wanaandaa hata kwa elfu thelathini (30000) by the way Diamond Platnumz ana wanasheria wake

2. Then unaenda kwa Registrar of documents pale Posta unasajili deed poll yako unalipia tena elfu 33000 then unasubiri siku 14 unapata majibu.

Yaani ukiwa na 63000 unabadili jina ndani ya siku 14.

Nakutakia kila la kheri Naseeb Salum Nyange (Diamond Platnumz) katika kubadili jina lako.
 

Tuzo zake, vyeti majina ya watoto atabadili?
 
Aiseeee

Wanahis ni km unakula maandaz vile kubadili jina
Yaan!Mimba ya Nyange akapewa Abduli,Abduli akaikataa lakini akawa baba mlezi,lakini jina Unatumia la yule aliyekataa Mimba akawa baba mlezi ukatumia jina lake.Nyange alikubali Mimba ndo maana yule Mama akampelekea Abduli na kuchukua ubini wake?.Mimi sielewi kwa kweli
 
Wanasema nyange alikuwa marehemu mondi akiwa mimba

Si ajabu mzee nyange aliwaishwa sababu ya kuona mzee Abdul anamfaidi Bi sadra
 
Wanasema nyange alikuwa marehemu mondi akiwa mimba

Si ajabu mzee nyange aliwaishwa sababu ya kuona mzee Abdul anamfaidi Bi sadra
We acha mbona ye Mond alisema alimuona mara ya kwanza nyange akiwa na umri wa miaka 11 baada ya kuelekezawa anakofanya kazi na mamake romy jones, na alipoenda alimpa mchele na tshs 200, maana alikuwa akiuza mchele sokoni.
 
Ndiyo, maana nimekwambia nilichosikia kwenye interview ghafla ushanigeuza mdogo wake nyange. Basi sawa
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁
 
Nyange alimpa Naseeb mchele na shilingi miambili lakini abdul alimlea nani mkali
 
Nadhani kinachomsumbuwa sasa sio kubadili jina pekee,,

Bali ni jina gani atumie badala ya nasibu abdul,,
--Akumbuke hata hilo jina la nasibu alipewa na Mzee Abdul..

-- akumbuke akibadili jina hata nyota yake pia itabadilika,,

Wacha tuone..
 
Hivi kwanini Diamond amekosona na huyu mzee Abdul?

Hivi kweli na mihela yote ile anashindwa mpa hata huyu mzee milioni moja kila mwezi awe anakula maisha.?

Au kuna kitu nyuma ya pazia kuhusu Diamond kumkataa huyu baba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…